Kuchepuka raha

Wasipoelewa basi tena
 
wala hatushindani na mtu, tunafanya tu wenyewe kwa starehe zetu. Afu wanawake mnaochepuka nao nyie wanashindana na nani kwani?
Gelofriend ha ha hilo swali lako ni la kiwango cha necta ha ha ha kwamba michepuko yao inashindana na nani
 
Angekua ni mwanaume, ungemuona rijali kwa kuchepuka kisa mwanamke povu, kunywa maji Kaka
Huyo mke wa leo hii unaemfungashia viroba ni mkoma au????
Wala haitakuwa na haja ya kumfungashia viroba. Siku hizi mtu anachapa lapa anaacha kila kitu hata chupi habebi. baada ya mwezi maisha yamemnyookea maradufu. Viroba vya nini tena!!
 
Sana. Cases zipo nyingi. bibi zetu na mama zetu wamevumilia mengi.
Halafu nashangaa wanavyosema tuwaige mama zetu...wawajui tu kuwa mama zetu wameshajitambua...hawakubali tena binti zao wateseke kiboyaboya!

Yap, ni kweli.
 
Haya chacha!!

Sasa mama mmetumbukia shimoni wote nani atamuokoa mwenzie? Hayo mambo huwa hayana mashindano, unacompete na mtu asojitambua sasa wht daz that make you?? Kuchepuka haikuwahi kuwa suluhisho mpendwa, stuka mapema kabla haijawa too late. Jiulize mara mia mia is that the right way kudeal na hilo tatizo la mumeo?

Mtaja pata magonjwa muishie kuwatesa watoto wasio na hatia. Tafakari tafakari tafakari tafakari mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…