Kuchepuka raha

Weeee tena mimi kama mtu akinitelekeza akahamia kwa mchepuko wake, atakapoanza kuumwa hoi apitilize tu kijijini kwao, mimi mwenyewe nina allergy na shida. Wakiwa na maisha mazuri hawatulii na wake zao kutwa kuhangaika, yakiwashinda huko ndo anarudi na kijuso kinamshuka. Utauguzwa huku huko ulipokuwa unakula raha zako, nani anataka liabilities.
 
Hadithi, hadithi njoo...........................
 
Kama umemkuta mhuni lazima uone tofauti ,mmeo anakuhurumia lakini mhuni anakukunja mpaka kiuno kina gusa uso ukirudi nyumbani viungo vyote vimelegea
 

Hiyo ni rare case demi, uchepukaji wa huyo mzee sio wa mtu timamu, najua hakuna uchepukaji timamu. Ila na nyie muwe mnajiuliza inakuwaje mtu aliyekuwa anakupenda sana hadi akakuoa ameanza kutafuta wanawake wengine
 
ID yako na maneno yako ni mafuta na maji,

badilisha ID mdada, unaaibisha utukufu
 
Tena wakitoka kuchepuka anarudi kavimba ili usisubutu hata kuuliza.hawa watu waajabu sana!
Ndio wanawaoa sasa ukitaka Asia waajabu lbda umuumbe we hahahaha na mkiliwe nyny na kuleta watoto sio waajabu
 
Walijishusha sana kwa waume zao. Siku hizi wanawake mmekuwa watata mnataka usawa kila kitu. Mtaweza?
Kujishusha kivipi yaani. Tukijishusha ndio mnapata bichwa mnatunyanyasa. Hakuna mke ambaye hajawahi kujishusha kwa mwanaume. Na kama mke wako alikuwa anajishusha mara ghafla kabadilika ujue tatizo ni wewe!
.
.
Mnapenda tujishushe lkn nyie wajibu wenu kama mume hamtekelezi..bado tujishushe tu? Ifike pahala mtambue kuwa we are also human beings, we have feelings, what you feel we feel the same and even more! Unapotamani nje na sisi tunatamani.
.
.
Mapenzi ni both sides! Usitegemee upendwe wewe uheshimiwe wewe! Halafu usinipende nikupende, usiniheshimu nikuheshimu. SI KARNE YA SASA.
 
Endeleeni kumdanganya ili siku akivurumushwa mumsaidie kukaa nae. Aliyesema wanawake wana akili fupi hakukosea aisee.
Wanawake wa siku hizi wanajishughulisha, ukimfurumusha anajipangia zake maisha yanaendelea.

Ukiona mwanamke mpaka anafikia hatua hiyo jua kachokaaa!! Kila siku humu mnaleta mada za michepuko mnafurahia ila huyu mnamsema ndiyo muone ni kiasi gani inauma.
 
Uzuri wa ngoma ukiipata leo huumwi kesho ,lazima atakuambukiza tu haina jinsi nikuomba Mungu atuepushe
 
Yani badala ya kukaa na watoto uwafundishe mambo mazuri unaona solution ni kwenda kuchepuka? Bad wife, bad mother... watoto unawaacha na nani unapoenda kwa mchepuko!!

Hahha aisee umenichekesha, kweli Mungu sio Lusajo. Nani kasema anaenda kuchepuka?. Anyway nyie mnavyoenda kuchepuka watoto wanabakigi na kina nani? Afu kuchepuka sio lazima mtu atumie siku nzima, vimasaa vichache tu vinatosha unaendelea na majukumu ya watoto teh
 
My dear huo uvumilivu wa namna hiyo tuwachie bibi zetu lo!!! wanawake watano hao ndo kazaa nao je ambao hawakuzaaa
aaaaiii nacheka kama mazuri.hapo nikufanya maamuzi magumu tu.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa mnyenyekevu na kuwa mjinga.
 
ID yako na maneno yako ni mafuta na maji,

badilisha ID mdada, unaaibisha utukufu
Wewe ibadilishe tu ID yangu kadri utakavyojisikia.
Kama mume akitaka kurudi a - make sure bado ni asset, sio mtu hueleweki apeche alolo, umekongoroka ndo unanirudia, ntakutoa nduki na zubeda lako, kwendraaa kijijini kwenu huko. Hata ukija vizuir sio guarantee ya kurudiana na wewe ila naweza kukufikiria Haha ahhaa daah
 
SI KARNE YA SASA.

Hapa ndo umeongea ukweli wenu. Mmetubadilikia sana nyie watu. Nyie ndo watunzaji wa nyumba sasa mkianza ligi mnaumiza watoto. busura zaidi kasema finally mume alijirudi, tumieni busara na maombi tu mwanaume atakaa sawa. "Mwanamke mwenye busara huijenga nyumba yake, mpumbavu..." unaijua hii quote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…