Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Unakuta ulikuwa na dream ya ndoa nzuuri...ukampenda mwanamke/binti na kuamua umtolee mahari...kumbe ni balaa tupu.

Ni bora kutokuoa.
Ili uendeleze uasherati, ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa, siku ukiumwa huna hata wakukufunika shuka ndiyo utajua faida ya kuoa na kutokuoa, hivi unakutana na mtu barabarani kisa kapendeza hujui atokako wala kwao kupoje unatangaza uchumba kwanini usiachwe! Waliotulia mnawaacha eti washamba na bado mtanyooka tu mwaka huu
 
Duuh dada ila fikiria fikiria zaidi ili uweze kufanya maamuzi sahihi kwa ajili yako binafsi huku ukimshirikisha Mungu ili uwe upande salama na kuepusha majuto baadae
 
Ili uendeleze uasherati, ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa, siku ukiumwa huna hata wakukufunika shuka ndiyo utajua faida ya kuoa na kutokuoa, hivi unakutana na mtu barabarani kisa kapendeza hujui atokako wala kwao kupoje unatangaza uchumba kwanini usiachwe! Waliotulia mnawaacha eti washamba na bado mtanyooka tu mwaka huu
Kwahiyo watu wanaoa ili tu wapate wakuwafunika shuka waumwapo?

Kwani nduguyo wa damu hawezi kufanya hivyo?

Wewe ulioa au kuolewa kwaajili hiyo?
 
Huo katoa tu mfano. Na ukiona hauoni maana ya kuoa/ kuolewa ni vyema usifanye hivyo, maana utaja mpa taabu mwenzio bila sababu.
 
Back
Top Bottom