DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,486
Hilo ndilo wanalolitumia mafisadi ya CCM kuwakandamiza watzWa Tanzania ni waoga mno mtu kapigwa risasi hadharani, watu wanapotea hakuna hata uchunguzi wala lolote juu yao wa Tanzania hawana umoja labda ni unafiki na uoga