impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,732
- 7,611
- Thread starter
- #41
Basi iwepo sheria inayotamka kunyongwa ili ilete utishoAdhabu ya kunyonga siafiki. Lakn adhabu aliyotoa RC haitoshi alitakiwa acharaze bakora hadi washindwe kutembea ili iwe fundisho kwa wengine. Kuna ndg yake m1 aliwahi kucharaza walimu!