Kuchapwa viboko wanafunzi wakuchoma mabweni wa mali za shule hakutoshi tuwe na sheria ya KUNYONGA watakaobainika.

Wa Tanzania ni waoga mno mtu kapigwa risasi hadharani, watu wanapotea hakuna hata uchunguzi wala lolote juu yao wa Tanzania hawana umoja labda ni unafiki na uoga
Hilo ndilo wanalolitumia mafisadi ya CCM kuwakandamiza watz
 
Low IQ itawamaliza.
Nimpe pongezi kidogo Mkuu wa mkoa wa Mbeya.

Adhabu ile haitoshi (angechapa viboko 100) uharibifu ni mkubwa, mno kuchoma mabweni na uharibifu mkubwa wa mali wa namna ile haivumiliki.

Hizi ni kodi za walalahoi Zinazojenga na kuweka Samani Mashuleni.

Ikitokea wapuuzi 2 wavutaji bangi wahamasishe uharibifu wa mali zilizowekwa kwa mamilioni ya pesa yafaa WANYONGWE kwa maana wakiachwa ni tatizo kwa jamii hao ndio wezi na majambazi tusilee ugonjwa ni heri wafe tutatue tatizo (PANAPO FUKA MOSHI ZIMA MOTO CHINI)

Kama taifa tufike wakati tusiendekeze ujinga wa namna hii tukiacha haya matatizo kila sehemu yatakua hatutakuwa na suluhisho maana yatakuwa yameota mizizi ambayo kuikata ni vigumu.

SULUHISHO:
Tuwe na sheria kali ya KUNYONGA kwa wote watakaohusika hata kama ni shule nzima ili mradi imethibitika wamehusika.

Haya ni maoni binafsi lakini ni kwa msitakabali wa maendeleo ya taifa letu kutokuruhusu ujinga ujinga unaoweza kuleta hasara zinazo gharimu Taifa.
 
Back
Top Bottom