mkuu umeowa/olewa wewe?. I wish unge kuwa bado halafu ikifika uwe wakwanza kudhubutu
Kweli kabisa. Hii michanog ya harusi kwa sasa imekuwa ni kero. Hebu fikiria kwa mwaka unachangia harusi jumla sh ngapi. Katika michango yako jumlisha zawadi na hela ya mafuta au nauli ya TAX ya kuhudhuria harusi maana huwa zinafanyika usiku.
Baada ya hapo fikiria iwapo una wazazi wako kule kijijini je, kwa mwaka unawasaidia kasi gani cha fedha? Au msikitini au kanisani unamtolea Mungu wako kiasi gani?
Kuchanga ni chaguo lako haujalazimishwa. Mimi sichangiagi, nilishaacha na wananijua
Kwenye hiyo list ya watu kama 4 najiongeza na mimi kama 5. Kwa kweli itakavyokuwa ni hivyo hivyo tu. Nikiandaa chai na sambusa moja moja kwa watakaoniunga mkono nadhani itakuwa inatosha.Tuna harusi/send-off kama 4 za wanaJF hadi sasa tunapoongea(wametangaza nia)...Kwa kauli hizi mnataka kusema nini?Kwa asili, kusaidiana katika jamii za kiafrika katika matukio yoyote ya kijamii ni kawaida. Wala tusianze kulaumiana leo. Kwa asili ilikuwa mtu anapokuwa na harusi watu huleta viti, majamvi na huduma physical!...Kibaya ni sasa hivi kufikia hatua ya kupanga kiasi cha msaada ambao mtu anataka kusaidiwa!..Naandika hivi nikiwa na kadi 5 za harusi na vipaimara zenye limited-mchango!..Inaniumiza na kunifilisi, lakini sina jinsi ya kujikwamua!..Anyway, itachukua muda sana!
Umesema vema kabisa. Wazungu kwa hili la vipaumbele wanatuzidi. Sherehe zao za arusi ni za kawaida tu kama ulivyosema pamoja na kwamba wengi wao wangetaka wangeweza kufanya harusi kubwa kabisa. Lakini daima ni watu economical, wenye kupima na kuweka vipaumbele vya matumizi ya fedha.Ni vigumu sana kusema harusi zisichangiwe, hii inatokana na tabia ambayo tumejiwekea ya kutaka kufanya sherehe kubwa kubwa za harusi ambazo ni vigumu sana kwa mtu mmoja kuweza kufanya hivyo, ndio maana utamkuta mtu anatembeza bakuli la mchango (card za mchango) ili aweze kukamilisha malengo yake aliyo ta weka.....
Hivi juzi tu jamaa yangu wakaribu ali funga ndoa na harusi yake ili gharimu takribani tsh million 17, na kulikuwa hakuna pombe, kilicho ni shangaza kwenye harusi hii haikufana sana japo ili gharimu pesa nyingi sana, nimesema hivyo kwa kuwa kuna rafiki yangu alifanya harusi ya tsh million 4 tu huwezi hamini ilifana sana na watu walikuwa wengi kushinda hiyo iliyo gharimu million 17.
Nilicho jifunza hapa ni kwamba harusi unaweza kujipanga mwenyewe kwa kuigharamikia , kwa mfano hiyo ya million 4 ni pesa ndogo sana ambayo mtu unaweza kujipanga kwa mwaka mmoja na kipata na kufunga ndoa pasipo kuwasumbua watu.
Tatizo kubwa lipo kwetu wenyewe kwamba tuna taka vitu vya gharama kubwa na ambavyo hatuwezi kivi fanya wenyewe pasipo kutegemea michango ya watu.
Umefika mda sasa watanzania tu funguke macho na kufanya mambo ya maendeleo na kuachana na hizi hanasa na masaa 4/6 ambazo mwishoe ndoa ina vunjika ndani ya wiki moja huku ukiwaacha ndugu zako kwa kilala njaa kutokana na harusi yako.
Kwa wenzetu ulaya kwa jinsi nilivyoona huwa wanafanya harusi ya kawaida sana na ambayo hai gharimu pesa nyingi sana na muoaji na muolewaji ndio huwa wana gharamia kwa 90% gharama ya harusi yao,ambapo ni tofauti na huku bongo ambako utakuwa bwana harusi mara nyingine anachangiwa hadi kununua gauni la bibi harusi.
OUT: michango ya harusi+ubatizo+kipaimara+birthday+annivessary+ngoma+arobainiNasikitika kwanza kuwa pendekezo hili naliweka katika maneno ambayo hayajadailutiwa hata kidogo. Kwa maoni yangu, umefika wakati sasa wa kusema no kwa michango ya harusi, ama fedha au mda. Maoni yangu yanazingatia kuwa kwanza kuoana ni uamuzia na muhimu kwa wanaooana. Yapo mambo mengi yenye faida ambayo tunaweza kuchangiana kama vile ada za watoto mashuleni, kuhudumuia wagonjwa na kadhalika. Kama anadhani anataka kufanya harusi, basi aandae kwa fedha zake na awaalike watu waje wamuunge mkono kusheherekea, sio kuwakalisha watu kwa zaidi ya masaa 400 (e.g vikao 5 x masaa mawili kila kikao x wanakamati 20) eti wakiumiza vichwa na hela ili mtu aoe!
Wewe umeshaoa/olewa?Nasikitika kwanza kuwa pendekezo hili naliweka katika maneno ambayo hayajadailutiwa hata kidogo. Kwa maoni yangu, umefika wakati sasa wa kusema no kwa michango ya harusi, ama fedha au mda. Maoni yangu yanazingatia kuwa kwanza kuoana ni uamuzia na muhimu kwa wanaooana. Yapo mambo mengi yenye faida ambayo tunaweza kuchangiana kama vile ada za watoto mashuleni, kuhudumuia wagonjwa na kadhalika. Kama anadhani anataka kufanya harusi, basi aandae kwa fedha zake na awaalike watu waje wamuunge mkono kusheherekea, sio kuwakalisha watu kwa zaidi ya masaa 400 (e.g vikao 5 x masaa mawili kila kikao x wanakamati 20) eti wakiumiza vichwa na hela ili mtu aoe!
Nasikitika kwanza kuwa pendekezo hili naliweka katika maneno ambayo hayajadailutiwa hata kidogo. Kwa maoni yangu, umefika wakati sasa wa kusema no kwa michango ya harusi, ama fedha au mda. Maoni yangu yanazingatia kuwa kwanza kuoana ni uamuzia na muhimu kwa wanaooana. Yapo mambo mengi yenye faida ambayo tunaweza kuchangiana kama vile ada za watoto mashuleni, kuhudumuia wagonjwa na kadhalika. Kama anadhani anataka kufanya harusi, basi aandae kwa fedha zake na awaalike watu waje wamuunge mkono kusheherekea, sio kuwakalisha watu kwa zaidi ya masaa 400 (e.g vikao 5 x masaa mawili kila kikao x wanakamati 20) eti wakiumiza vichwa na hela ili mtu aoe!