Kuchacha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchacha!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by kakuruvi, Sep 12, 2012.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kuna wimbo unaimbwa ''maradhi yote ugua, lakini kuchacha, usiombee'' si kwa kupenda ila unaweza kumkuta mtu anapiga na hii swaga na yuko poaaaa!
   

  Attached Files:

 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yuko bosi wangu mmoja alipigwa chini kwa tuhuma za ufisadi, nimekutana naye juzi juzi nikajikausha sikumsalimia asije kujisikia vibaya; alikuwa amevaa kandambili zilizochoka kama hizo halafu rangi zimetofautiana.Kweli dunia tambara bovu halikawii kuraruka.
   
 3. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Sio wote wanaovaa hivyo wamechacha! Wengine wanavaa hivyo kwa kutii masharti ya FUNDI
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Dunia tambara bovu, mie hayo yamenipata.
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,452
  Likes Received: 4,736
  Trophy Points: 280
  angalia na zangu
   
 6. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  du yana mikanda migumu kweli bado mikanda ni mipya!


  [​IMG]
   
 7. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kandambili hizo ni original maama mikanda yake bado sana.
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Afu mkuu sijapenda mambo ya kuchukua viatu zangu afu unapigia picha bila kibali cha copyright!?
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hayo yangekuwa yanaongea yangenunung'unikaje.
   
 10. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Very true!
   
 11. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa mkuu, kuna mzee moja tajiri wa ng'ombe huko kijijini kwetu lakini siku zote analalia ngozi ikiwa imetandikwa chini. Moja wa watoto wake alimletea kitanda na godoro akijaribu kumlazimisha kulala kitandani ilishindikana na akawa anatishia kumlaani mtoto wake kama akiendelea kumlazimisha kulala kitandani.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  chezea bata kenya weye?
   
 13. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kama ni hivyo masharti ya Babu ni utumwa!
   
 14. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hizi ndo zilikuwa BATA za ukweli... Achana na maUMOJA ya siku hizi mikanda inakatika wakati kanyagio bado nzima!
   
 15. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Utajiri wa gizani. Shetani huwachezea watu kwa kuwadanganya kupata utajiri kwa njia ya mkato. Mungu ameagiza watu wafanye kazi na kujipatia kipato halali naye atakibariki lakini shetani anawadanganya watu kuwapatia utajiri bila kufanya kazi! matokeo yake ndio hayo ya kulala chini wakati pesa za kitanda unazo, lol!
   
Loading...