pamoja na hayo , usifiche uchafu kwa kigezo cha uremboMimi ni mwanamke na sipendi kucha ndefuuu lakini mtu akiwa nazo naona sawa tu sababu ni urembo anaoupenda,wapo wasio na kucha ni wachafu na hawajishughulishi na wapo wenye ndefu wanakuwa tofauti.
Halafu wanaume hebu jifunzeni kuheshimu maamuzi wa wanawake naona mnawapangia kila kitu arrrgghhh MNACHOSHA mbona sisi hatuwapangii.
Pilipili usiyoila yakuwashia nini(Mtu humlishi wala kumhudumia kwa lolote lakini anakushughulisha),piga kazi mhudumie umpendae afu umpangie cha kufanya.
Mmmmh!Sijui wanachamba vipi?,Maana kidole inabidi kiingie kule ndani kwenye uke kutoa utoko!?sasa kwa mikucha hiyo itakuaje?,...hovyo kabisa.
Ni marufuku kuingiza kidole kuchokonoa uke,... Internally kabisa kusafisha I wonder [emoji15].. Safisha vizuri kwa maji safi bila sabuni usiingize mavidole wala kujichokonoa ile sehemu ni sensitive mno. Of course kucha ndefu zinahitaji usafi wa hali ya juu otherwise ni kutunza magonjwa. Bora kuzikata..Sijui wanachamba vipi?,Maana kidole inabidi kiingie kule ndani kwenye uke kutoa utoko!?sasa kwa mikucha hiyo itakuaje?,...hovyo kabisa.
Una nini mkuu?sielewi.Sina papuchi mie
Sina kitu, yani hata namie sielewiUna nini mkuu?sielewi.
Maji yanafika kule ndani kabisa?..loo kuzamia uvinza kutanishinda aisee.Ni marufuku kuingiza kidole kuchokonoa uke,... Internally kabisa kusafisha I wonder [emoji15].. Safisha vizuri kwa maji safi bila sabuni usiingize mavidole wala kujichokonoa ile sehemu ni sensitive mno. Of course kucha ndefu zinahitaji usafi wa hali ya juu otherwise ni kutunza magonjwa. Bora kuzikata..
Mkuu mimi kidole changu kina uzoefu wa kusafisha papuchi,nipe kazi hiyo nitaifanya kwa kujitolea bila malipo.Yaani mimi ndo sijajaliwa kucha ndefu kabisa!!! Zikifika urefu fulani kidogo tu zinakatika hovyo ko inanibidi nikate tu!!!
Umenikumbusha mabali mkuu,kipindi ndio kwanza nimeolewa si nikafuga kucha najua mume wangu atapenda,nimetoka safari nika tengeneza kucha zangu tena sio zakuongeze zangu mwenyewe kanipokea vizuri bwana yule kufika nyumbaniIvi walio na kucha ndefu za mikononi mnafanyaje usafi, mnakula vipi, mnafua vipi, pia nani kawaambia mnapendeza mkiwa na mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movie za kinigeria.?
Cha ajabu kwa kizazi hiki hadi wanaume wanamikucha mirefu..
Binafsi msichana msafi ni pamoja na kukata kucha,
wanabandika kucha wadadakucha za kuvaa?