Ivi walio na kucha ndefu za mikononi mnafanyaje usafi, inakula vipi, pia nani kawaambia mnapendeza mkiwa na mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movie za kinigeria.
Cha ajabu kwa kizazi hiki hadi wanaume wanamikucha mirefu..
Binafsi msichana msafi ni pamoja na kukata kucha,
You said it all, kuiga kwingi na mara nyingine tunaiga mashetani bila kujijua.Ivi walio na kucha ndefu za mikononi mnafanyaje usafi, inakula vipi, pia nani kawaambia mnapendeza mkiwa na mikucha mirefu kama mashetani ya kwenye movie za kinigeria.
Cha ajabu kwa kizazi hiki hadi wanaume wanamikucha mirefu..
Binafsi msichana msafi ni pamoja na kukata kucha,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo wewe unaingizaga kidole?Sijui wanachamba vipi?,Maana kidole inabidi kiingie kule ndani kwenye uke kutoa utoko!?sasa kwa mikucha hiyo itakuaje?,...hovyo kabisa.
uuh kumekuchaUkweli lakini kucha ndefu zinapendeza sana lakini zinahitaji extra usafi ili zisibaki na uchafu.
Kila nikiona mdada na kucha ndefu huwa najiuliza sijui wanapigaje deki kwa bibi na hizo kucha.
hahahaha, tuanze na wewe. unafanyagaje wewe mkuu......................Kwa hiyo wewe unaingizaga kidole?
wengine hawaoshi ndo maana malalamiko ya harufu za panya haziishi humu jamviniYaani mtu anakucha utadhani anatafuta tuzo unaoshaje nyapu??