Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,486
- 9,868
Kama nyama ipo marinated vizuri inakuwa laini tu..Na unapomla ni Mara mia udondoke kuliko kukaa karibu na ukuta
Una matapishi ya mchezo bwashee , acha kuyafuja hovyoNais kutapika
Nipe location mkuu.
Teh teh teh 😃 😃 kazi kweli kweli
min -me hapa ukimaliza kula ni mwendo wa vodka na bia..
Nzurii sanaa mkuu duu ntaijibu hii soonNaivasha mkuu kwa GenZ kibachela zaidi
Duu ngoja niijibu hii niifanyie comeback ya kibabeeHapa ni vodka bia tumbo litajaa mno 😋