Kubwa Kuliko...!

Wabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...

3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher

Hii ni kweli nimeishakutana nayo, Mzee mmoja msimamizi wa kiwanda nilimsikia vizuri akisema;

''fayaukishatingisha'' alafu ''do you understand = ushaenda stendi''
 
Determine - (wengi huisomakama ditamaini)
examine - (wengi huisoma kama exzamaini)
 
hata wafanyakazi wa benki wenyewe wanasema benki ya crdb, au kcb bank tanzania ltd

The name's been changed to CRDB Bank, so wakisema benki ya CRDB ni kiswahili chake tu......Wako sahihi kabisa,
 
ukisikia hivyo asilimia kubwa huyo ni muhaya...ng zinawasumbua sana

Hehehe mi nimesikia Clouds muda sio mrefu. . . Inawezekana ikawa.

Alafu na wewe SMAILINGI SENTI usijifanye unajua sana makabila ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…