Kennedy si anaitwa mwigulu huyuDuuh
Lameck ana moyo mgumu.
Huyu amekwenda kulima juu ya mwamba ambao uliwashinda wazoefu kuliko yeye. Na ni kwa sababu anayegombea ni single lady ndo maana huyu Mwana Izaya anajipitisha huku mitaani kwetu afanye yale yale ya Igunga.
Ndiyo Mwigulu Lameck Nchemba
Ama nimekosea Mkuu !
Watakucheka watu. Wewe unaonekana ni mzoefu wa kule zaidi kuliko huku, hahahahahaaaahamna mi nddo nilikuwa silijuagi hilo la Lameck........
Watakucheka watu. Wewe unaonekana ni mzoefu wa kule zaidi kuliko huku, hahahahahaaaa
Ss ndiyo viungo wazoefu, haya hebu turudi kule kwenye uandamizi wako.hahaaa Siasa imenipita kushoto kidogo ila kule kwingine kule ndo expert......
Naona wewe unafit both sides........