Kubuni vazi Si Kazi ya Kila mtu:Ni Fani Ngumu Sana. Mtazame Huyu Mwanasiasa

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
PHOTO-NCHEMBA DESIGNS CCM COMBAT.JPG Anayeonekana kushoto ni Mwigulu Nchemba akiwa amevalia vazi alilobuni. Looks too tawdry!
 
Huyu amekwenda kulima juu ya mwamba ambao uliwashinda wazoefu kuliko yeye. Na ni kwa sababu anayegombea ni single lady ndo maana huyu Mwana Izaya anajipitisha huku mitaani kwetu afanye yale yale ya Igunga.
 
Halo MVUMBUZI, mbona umetoka nje ya mada?
 
Last edited by a moderator:
Hilo vazi watawagawia watanzania masikini ili wawape kura, ndiyo upeo wao wa kufikiri ulipofikia. R.I.P CCM.
 
Huyu amekwenda kulima juu ya mwamba ambao uliwashinda wazoefu kuliko yeye. Na ni kwa sababu anayegombea ni single lady ndo maana huyu Mwana Izaya anajipitisha huku mitaani kwetu afanye yale yale ya Igunga.

Single haziwezi, huyo anapenda wake za watu. Muulize katibu wa Igunga atakwambia
 
Back
Top Bottom