Manyerere Jackton
Mkuu Manyerere asante kwa hii, This is sad!, very sad indeed! kama ni kweli, Mzimu wa Babu yako, utawaibukia!.
Kuna uzi humu niliwahi kuuliza
Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!. Huu ni uthibitisho hata viongozi wetu ni ignorants mpaka basi!,
Japo mimi sijapita hapo Lumumba, naomba kutoa angalizo lenye some minimum reasonable doubt, kuwa kinachofanyika, sio lazima iwe ni kuvunja, bali wanaweza
kuvunja baada ya kujiridhisha restoration haiwezi kulidumisha kwa sababu
original structure ni udongo ambao hauwezi kudumu miaka milioni moja ijayo, hivyo kinachofanyika sasa ni ku demolish the old structure, kisha kujenga replica vile vile, halafu ile ample wastage space, ndio inakuwa put to more economical news ikiwemo kujenga ghorofa on top for investment!.
This is my assumption tuu!.
Pasco