Kubomolewa Jengo la TANU ni dhambi ya kihistoria

Ni ukweli husio na chenga kuwa jengo hilo ni mali ya watanzania wote bila kuangalia itikadi ya kisiasa hasa kwa jengo hilo, ila kwa ccm ukiyasema hayo utaonekana ni adui namba moja.
CCM wanapora kila kitu ,open space huegeshe magari na kujifanya viwanja vya CCM,stadia karibu zote wamepora wanajifanya za CCM wakati kila kitu kimejengwa na fedha za serikali ambazo sisi ambao sio wanachama wa CCM tulikatwa kwenye mishahara au tulishiriki kwenye harambee za ujenzi si kama wana CCM bali wananchi,umefika wakati kuwapiga stop hawa CCM,tufanye kama alivyofanya Ruto kule Kenya akiwa kiongozi wa NARC ile ya Kibaki kunyang'anya jengo kutoka kwa KANU na kuwa ni jengo la serikali,KANU walikomaa na kujifanya jengo ni la chama chao,tusubiri UKAWA yote haya yataisha kama si leo itakuwa kesho,hakuna marefu yasiyo na ncha(mwisho)
 
Umenena kiongozi,hawa jamaa wamejimilikisha kila kichozalishwa na nguvu za wananchi,mfano uwanja wa Ali Hasan mwinyi hapa tabora tuliujenga kwa nguvu za wananchi na ule wa majimaji songea.leo hii hawa ccm wanajifanya mali zao!
 
40 ya marehem ccm ni lini??
Hiyo 40 yao inatarajiwa kuhitimishwa mwakani sambamba na siku ambayo waTz tutaanza rasmi kuitumia Katiba mpya, yenye maoni yetu tuliyoyafikisha kwenye Tume ya Katiba, iliyokuwa chini ya Jaji Warioba, na siku hiyohiyo, tutafanya pia mazishi ya Katiba pendekezwa ya Lumumba, iliyoandikwa na NYOKA MWENYE MAKENGEZA MSAKA PESA aka Mzee wa Vijisenti!
 
Back
Top Bottom