kublock no ya simu

kublock no ya simu

Unaweza ku-Install CIA (CALL IDENTIFICATION APPLICATION).
Nenda kwenye option ya Call Blocker, kisha nenda kwenye : block the following number. I hope it 'll help.
 
.....ukiitia kwenye ndoo iliyojaa maji hakupati ng'o!
 
kuna mtu ananisumbua hata simjui aisee kila saa anabipu ...dunia hii ya maextreme kuna mtu anabipu kweli...ukipiga haeleweki

Huyo atakuwa ana-dipu sio bipu! Pole sana Smile! Bila shaka wataalamu watakusaidia!
 
Last edited by a moderator:
jamani naombeni mnisaidie jinsi ya kumblock mtu simu yake isiingie kwako...nimechoka...so irritating!

unatumia simu gani mkuu?? Jaribu antivirus ya kaspersky sema tu na yenyewe ni ya muda mfupi.. Ukimweka mtu kwenye blacklist.. Simu haiwezi ingia kwako.. Na instead ataambiwa uko buzy at that very moment.. Antivirus zingne na application nyingne mtu atajua umemkatia maana simu itaita kwanza then ndo ile app itaikata..
 
tena samsung ndo simple sana mkuu inazo options kibao za ku reject numbers za watu wasumbufu,,....wakipiga tu cm wanaambiwa ur no is bussy

yangu haina ni Samsung GT-S5300 hat muuzaji alishindwa jinsi ya kublock, kunalimtu linabip hadi usi wa manane,sijui halilali !
 
Huyo atakuwa ana-dipu sio bipu! Pole sana Smile! Bila shaka wataalamu watakusaidia!
Dr na wewe mechemsha Dipu ni dawa ya kuogeshea Ng'ombe kwenye mabwawa na nyingine huwekwa kwenye dawa za Dis-infectant dawa za chooni huku mitaani
Mtu anayekupigia simu na kuikata kabla ya kupokea huwa ana Beep A beep is also considered a colloquialism to describe a second telephone call coming in on the same phone line as someone is currently speaking, either on a landline or mobile phone. The call waiting feature often outputs an audible "beep" noise to indicate that there is a second call coming in.
hii ni miito katika simu na imeanza toka simu zile za mezani ili kupta Tone unabip na SIO KUDIPU
MM ningeshauri tungemsaidia kwanza Smile kuweka hii Blacklist maana hata sisi wengi wana tu-beep kwenye hizi modem na bado zina mapungufu kwani kuna no. nyinginehuwezi kupiga wala kuongeza salio mfano *150*01# au *148*01# nk hili suala lingepelekwa kwenye hawa Huawei wanaotengeneza hizi Modem na kina CALVIN Power watusaidie
 
Iphone 5 mkuu njiwa

mkuu boflo I OS sijawahi kutumia yangu ni HTC incredible S custom ROM MIUI .. ina settings kabisa na block SMS na SIMU ...

Njiwa mambo vp?unanikumbuka?
Sema app inayotumika basi kama ni smartphone natumia

eh ... mku nakumbuka na internert yenu hiyo.. niwahi kutumia GURU vichomi tu , .. mkuu kama unatumia android ukiingia play store you will find apps nyingi sana u just type/ search for a "call blocker "
 
Back
Top Bottom