Aisee nami naomba msaada huo,yangu ni samsung galaxy note ii
tena samsung ndo simple sana mkuu inazo options kibao za ku reject numbers za watu wasumbufu,,....wakipiga tu cm wanaambiwa ur no is bussy
Aisee nami naomba msaada huo,yangu ni samsung galaxy note ii
whaaat fixed point? ngoja nijibadili nijiite variable pointkumbe umeni-block? maana siku hizi nikikubip haiendi.......
samahani sana wote ninaowabip....mwenzenu nimefulia kwa muda, mambo yakiwa sawa nitakuwa nawapigia, tuvumiliane...
natumia laptop...line ipo kwenye modem so huwa naongea humo humo
ha haaa, wewe endelea kusmile bana.......whaaat fixed point? ngoja nijibadili nijiite variable point
kumbe umeni-block? maana siku hizi nikikubip haiendi.......
samahani sana wote ninaowabip....mwenzenu nimefulia kwa muda, mambo yakiwa sawa nitakuwa nawapigia, tuvumiliane...
hata mimi nilihisi hivyo rafiki....
jamani naombeni mnisaidie jinsi ya kumblock mtu simu yake isiingie kwako...nimechoka...so irritating!
Sasa mkuu nipe hayo maujanja ni apply kwenye cm yangu
....poa best bado upo?nilitoka kidogo
kumbe umeni-block? maana siku hizi nikikubip haiendi.......
samahani sana wote ninaowabip....mwenzenu nimefulia kwa muda, mambo yakiwa sawa nitakuwa nawapigia, tuvumiliane...
Sasa mkuu nipe hayo maujanja ni apply kwenye cm yangu
Iweke humu tumuendee hewani.
mwaga procedure basi mkuu...kuna walugaluga wanazingua sijui ndo wamenunua simu
Nenda play store, download "calls blacklist" zipo za aina nyingi tu, zinablock mpaka msg pia ina option ya kuwa unazisoma na kwa upande wa calls atakua hakupati hewani kabisa ila we utapata alert kuwa alikutafuta ukipenda.
Pia unaweza block namba zote zilizopo kwenye 4n book yko.
I thought Play Stote ipo kwa ajili ya apps za Android OS tu...