kublock no ya simu

kublock no ya simu

aiseeeeee babayangu kwa sayansi yetu ndogo ya kutengeneza mbege ukiweka line kwenye modem mtu akikupigia aioneshi ila anayekupigia atasikia inaita lakini akituma sms ndio utaiona
Mkuu rombo kuna kitu hujakimalizia katika hiyo Modem yako kwani ni kweli kabisa simu zinazoingia au hata kupiga huwa namba inaonekana lakini kama ulisave majina baada ya kukata yanarudi majina
Fungua Tools juu kabisa ya desktop ya Huawei
-Option
-Calls
-Visual prompt on incoming calls (hapo kuna kisanduku weka V (tik)
-OK umemaliza
Naona itasaidia

Last edited by a moderator:

aiseeeee babayangu ukwaju kwa maelezo mazuri
alafu huyo jamaa hapo juu anatuzomea kwanini
 
aiseeeee babayangu ukwaju kwa maelezo mazuri
alafu huyo jamaa hapo juu anatuzomea kwanini
avatar28732_5.gif
Muorombo huyu jamaa asikutishe ila hujasema km kwa maelezo mazuri umeyatumia?
km unayatumia basi uwapo katika Computer au Laptop utumiapo hizo Modem za Huawei pale kwenye Call kuna zile Digit 0-9 na *# lakini chini ya kitufe cha kuita / kupiga chini yake kuna kitufe chenyepicha ya mtu (Phonebook) tumia hicho baada ya kumaliza ile kz ya tools na majina yote ukipiga zitatoka namba na kujirudia majina umalizapo
Ngoma bado tutaBlacklist vp namba kwenye Modem? Hawa jamaa wanadai wanaweza iwapo utatuma swalihilo la Smile http://www.justanswer.com/sip/elect...ew9sec_Trans&gclid=CPK76tOXt7gCFQcl4god4mAAiA
 
Last edited by a moderator:
Kama una android phone nenda kwenye playstore tafuta application ya Easy Blocker
 
Back
Top Bottom