kama ujawahi kubeti usijaribu, pia kwa anayebeti fanya makadirio mwenyewe jumla ya pesa (stake) ulizoweka mpaka sasa alaf linganisha na pesa ulizoingiza.
Kama pesa unazoweka ni kubwa zaidi ya kiasi unachokipata acha kubeti, kukimbia peku kabisa usiangalie nyuma 🤓 !