Kubet ni upuuz?

Hiv mwanaume kamili unawezaje ekeza ela yako kwenye kamari kama sio upumbavu. fuga kuku,mbuzi,nguruwe,ngombe ama mfany biashara.maana mkamaria n mtu mpumbavu mshenz asiyejieelewa.
wanadai eti inachangamsha akili na kuchochea nguvu za ya kutafuta pesa zaidi
 
Kila kitu ukikifanya kwa ukubwa na umakini kinaleta
Swala la kubeti ni sawa na mtu kulima shamba bado asitoe chochote shambani ukizingatia muda alotumia kuwekeza tofauti na kamari kua tajiri ni sikumoja lakini pia kufirisika ni pua na mdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…