Lakina nina uhakika stori hii haitakuwa na muendelezo wowote tofauti na kama ingemhusu Lowasa[/B].
Binafsi ninamheshimu sana Said Kubenea kwani ni miongoni mwa waandishi wenye misimamo hasa kwa yale wanayoamini kuwa ni kweli, lakini wasiwasi wangu unakuja baada ya kusoma makala zake nyingi nimegundua zinamhusu Lowassa, kitu kilichonifanya nidhani kuwa kuna tatizo kati ya wawili hawa na si ufisadi kama anavyochukulia Kubenea kama mwanvuli.
Maana kila toleo, tena kwenye ''front page'', utakuta mara Lowasa hivi, mara Lowasa vile, ilimradi tu amseme Lowasa.
Sio kama ninamsemea Lowasa, hapana. Ila tu kama kweli Kubenea unania ya dhati ya kupambana na ufisadi, basi sema juu ya ufisadi na sio Lowasa tu kila siku, mbona kuna mafisadi wengi tu nji hii.
Leo ni Jumanne, kesho Mwanahalisi litakuwa mtaani, habari kuhusu Lowassa ninatarajia kuikuta tena kwenye front page.
Hata watu wa haki za bina damu wanasema "hate the the vice and not the person".
Nakushauri bwana Kubenea utafute namna nyingine ya kukemea ufisadi la sivyo watu wataanza kupoteza imani na wewe.
Ni wazi kubenea hana akili ya kutoa mawazo mapya kila siku anaandika yaleyale.gazeti lake lita kosa wasomaji muda si mrefu kutoka sasa.kwa kuwa watu wanapenda mawazo mapya
Na kweli hayakuhusu sasa unahamaki nini? We siyo Mtanzania? Je huna uchungu na nchi hii? Jengo la UVCCM ni mali yangu na yako. Tulichangia tangu tulipokuwa shule. Labda wewe hukusoma Tanzania ndo maana unasema hivyo. Inawezekana!!!!!!
I might you have personal interest to special person. Inawezekana kaka zilikupitia maana magari yenu ya kifahari hatuyaoni sasa.
Jamani tuache njaa ya kushabikia yasiyoshabikiwa. Na mkuu labda uelewe sina ligi hapa,,, ni kwa msaada wako tu na siyo wa kubenea.
Washkaji wa jf naomba mnielekeze namna ya kulipata gazeti la mwanahalisi ktk mtandao nikiwa huku ugaibuni maana mara ya mwisho nilikuwa nalipata ktk KICHEKO lakini tangu wakati huo naona limeganda tu pale na habari ile ile ya dr slaa. i need help pls
ndugu yangu tangu lini umekuwa mpiga ramli!!??
manake huu sio unabii!!
au wewe ndio mchapishaji wa gazeti????
Ndugu yangu Mwita haihitaji elimu kubwa kujua hilo! Huyu ana bifu EL sio JK.
Hao mafisadi wengine kubenea kawaachieni nyie, yeye kaamua kufa na mnyonge wake EL!tehe...tehe...teheeee!!!
Aah...! Kumbe mwisho wa siku, EL ni mnyonge wa Kubenea....
UKITAKA KUMPIGA NYOKA ANZA KICHWA KWANZA. LOWASSA ni kichwa cha ufisadi Tanzania. MENGINE NI BLAH BLAH.
Hata magazeti yote yakiandika kila siku, habari za ufisadi wa Lowassa hazitakwisha maana hata leo kuna ufisadi mwingine unafanyika, ndio maana wakati kina mwanyika wanaanza kuchunguza EPA, kina Lukanza na wenzake walikuwa wanachoma nyama kule Monduli na walichangia katika harambee hadharani pale Arusha. Kumbukeni.
Suala la Nape ni ufisadi mwingine wa Lowassa ambao uko katika chati, sasa unategemea nini? Gazeti linalotaka kuandika ukweli kuhusu ufisadi haliwezi kumkwepa Lowassa hata kwa mawe.
Kama una uhusiano na Lowassa, nenda kamsalimie binti kutoka Handeni anayeitwa Mwajabu Ibrahim, anayefanya kazi nyumbani kwake na ambaye alipojiuzulu 'aka-mjiuzulisha' mtoto wa watu ili ahame naye. Mwambie akupa kadi zake za benki ukaone ana fedha kiasi gani ukilinganisha na za kwako unayehangaika na kazi usiku na mchana. Hiyo ni ili mujue tunajua mengi.
Kubenea na kingunge sawa maana kingunge anasema ccm hakuna haki ya nafasi wakati hata huko cdm hali haikuwepo watu wenye pesa walinunua saccoss tu,