William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Niliandika kuwa kijana kaowa familia ya Mwakyembe. Sasa sijui ulisahau miwani ya PILI na hivyo ukaona ni Mwakalinga na Rostam.
Mkuu, ninawasiwasi na wewe kuwa huwa huoni hata sehemu unaingia. Inawezekana kabisa Mkuu huwa unachanganya hata milango ya mbele na wanyuma....... au WA JIRANI.
Tuseme unasema kweli. Niliandika Mwakyembe wewe unasema Mwakalinga. Na tukiandika Mwakalinga tunamaanisha Mwakyembe? Kama ni hivyo mechi imeisha. Aliyepokea milioni 400 kummaliza Mwakalinga ni Mwakyembe. Na ni Mwakyembe aliahidi watu LAPUTOPU.
Mwakyembe timu, mwakani mna hali mbaya. Kitu kipya kinatema hadi Malawi/Zambia wanapata habari yake. Watu walifikiri utani, wakabeza wee na sasa wamelowanisha Pants zao kwa uvundo. Na kwa kuwaumiza roho, kitu ni cha JAMII ya Wanakyela na si cha mtu binafsi. Hata Mwakyembe anaweza kuja kutumia.
WATANZANIA siyo MABWEGE TENA. Mwakani watapima PUMBA na MCHELE.
Mambo ni Chaaa chaa kwaaauuppppp, Kyela FM iko hewani...... HONGERA wana KYELA kwa kufanikiwa kuwa na mtambo wenu. Wenye wivu waende wakatafute kamba na mchague Matawi manene maana wengine WAMENONA hao, katawi kadogo katakatika na zeozi la kujinyonga likwame. Milioni 5 walizopewa Mwaka 2005 na Rostam tumeshapata habari. Mwakani tutabanana hadi mtu akiri na kuzirudisha Banki Kuu. Posho mbili nazo itabidi watu wazirudishe.
- Hoja nzito sana hiyo yaani wana-Kyela kuwa na Radio yao, regardless ni ya nani au siyo, lakini hiyo ni plus hapo tupo pamoja sana!
Respect.
FMEs!