Ogah,
..
hakuna anayekataza mwandishi kumchunguza mwanasiasa na huko kugundua scandals zilizojificha na kuzianika. Lakini sio sahihi kusema umemkuta Ogah anaiba kuku, huku unajua kabisa hujamwona Ogah popote hata akiiba kitumbua.
Linganisha kilichoandikwa hapo juu, na kile kilichoandikwa hapa
Mtanzania said:....................Kumbe ndio maana watu wengine mnamwagiwa tindikali shauri ya kuandika majungu ambayo hayana ukweli hata mdogo. Ni taaluma gani hizo za kutumiwa na wanasiasa kuandika kila wanalotapika?
Yaani Kubenea alimwagiwa Tindikali kwa vile (shauri ya) ka(u)andika majungu? Hii ni kali toka kwa timu Mwakalinga.