maumi kweupe
Member
- Dec 9, 2015
- 14
- 1
Namtabiria Kubeana atazikunja ngumi nje au ndani ya Bunge maana kesha panic baada ya Chama chake kukumbatia Fisadi wakati akijua kuwa yeye alikuwa mstari wa mbele kuuaminisha umma!!
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.
Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.
nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

hapa napo vp
Sijaelewa, kwa hiyo ile picha ilitengenezwa ina maana sio ya kweli??!
Kinachokanushwa ni picha au kuvalishwa viatu?
Kama Nmemuelewa Ridhiwani Ni Kuwa Yule Alomfunga Kamba Za Viatu Ktk Picha Ile Sio Mh. Makonda Ni Mtu Mwingine Kabsa Na Kama Kuna Mwenye Ushahidi Juu Ya Hilo Autoe Hadharani.
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...
Utaacha lini kutumika vibaya? Ulitegemea riz akiri!
Mbona husemi makonda kuomba radhi kwa kywasweka ndani watendaji wa ardhi na kubenea?
Aanze Makonda kumuomba radhi Mzee Warioba kwanza na waTanzania wote