Kubenea safi sana mtafute na Yericko Nyerere akupe data nyingine za mshumbusi kuhusu 1.5m £.
Hoja ya Kubenea in kumuanika Slaa na kuuweka ukweli kwa hiki anachokifanya na hapo ndipo nyie maCCM muandike alama ya kupoteza tsh. Billion 3.6 zimekwenda bure.hapo kubenea sio anamchafua slaa anajichafua yeye jana alisema lowasa hashafishiki leo aseme lowasa msafi
Wa kumuacha tu yule traitor kwa kweli
dk slaa na watu kama nyie hiv mmeshindwa kujua shetani tunayepambana nae ni CCM (sio Magufuli), wamezoea kulindana mpaka bunge letu limekua la ajabu..kisa ccm wengi.Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?
Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.
Kubenea naye jamani alikuwa akimwandika bwana el karibu kila toleo la mwanahalisi au ashasahau?
Kubenea huyu huyu aliyekuwa anamponda Lowassa kisha anafunga kamba za viatu vyake, anataka amponde Dr Slaa. Hivi siye Kubenea aliyeunguzwa na Tindikali?
Tutasikia mengi kwa kweli mwaka huu.
Aliasi kwa Mungu wake sembuse chama