Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Kubenea kumvaa Dr. Slaa

As received

Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.

Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..

Wakikataa mdahalo anaita press conference

Ndio dawa ya watu wazembe wazembe kama slaa,wacha aumbuliwe
 
Hana madhara huyo, kama alivyoacha utawa na bado watu wanasonga mbele na imani yao, vivyo hivyo ameiacha CHADEMA itaendelea kupaa bila yy, aende mbele.....

Peopleeeeeessssssssssss
 
Siasa za mwaka huu ni za kipuuzi.....watu baada ya kutangaza sera kwa wananchi..wanatuletea mambo ya mipasho.....
Kubenea wakazi wa jimbo lako tunataka kujua utatatuaje tatizo sugu la MAJI,,,,...???

Baada ya miaka 54 ya uhuru bado unamuuliza mbunge wako shida ya maji itaisha lini?
 
Ni bora tujue uweli babu kanunuliwa kwa bei gani..sio anakuja na ngojera eti tumchague nusu fisadi...hahahahaa babu umechelewa sanaa nadhani leo umepata salamu toka uwanja wa taifa..Je na wale vijana wa uwanja wa taifa wamehongwa na lowasa au wamebebwa na mabasi...lowasa ndo mpango mzima....simchukii magufuli bali naichukia ccm....

Ccm chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Huyu jamaa kupitia gazeti lake la mwanahalisi.ameongea mengi kuhusu lowassa, wakati akihutubia huo mkutano huko kyera na hata kwenye mkutano na wanahabari awaeleze watanzania ni kwanini alikuwa anamchafua lowassa kupitia mwanahalisi na kuwadanganya watanzania kuwa lowassa ni fisadi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
As received

Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.

Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..

Wakikataa mdahalo anaita press conference

Cc:lizaboni
cc;Ritz
 
Kwa watu tusioyumbishwa na Propaganda za wanasisa tumeshaona Kubenea tumuweke daraja gani.
Hana tofauti na Lowasa na Mwakyembe
ambao waliyajua maovu wakayafumbia macho ili kulinda mkate wao.
Leo wanaumbuliwa kwa siri chafu walizoficha ndio wanajifanya ni wakati wao wa kuzimwaga.
Nawadharau!!!
 
kubenea hawa madokta na maprofesa wa Tanzania ni wakuwapuuza kabisa. cha kushukuru ni kwamba watanzania wa leo wanajua kilicho nyuma yao.

Makamba leo ametamani mpira uishe atimue mbio maana uwanja alikuwa anauona ni mchungu
 
Msaliti silaha padri aliyemuhasi mungu na wanadamu kwa kuitelekeza mbingu, familia na chama kwa uroho wa pesa na tamaa za mwili Kamwe hawezi kurudisha nyuma harakati za mabadiliko.
hapo ni uongo mtupu hata mwenyewe unafahamu. huyo mungu wenu ws chadema mungu gani hamumuogopi? au umegeuka zombie wa akina mbowe na lissu au tumbo ndio inakutuma.
 
Kubenea nakuheshimu na ninakukubali sana kwenye uandishi makini, nakupongeza sana kwa kujitoa kumshughulikia huyu dr, ila naomba msimjibu mara kwa mara anataka kuondoa attention kwa lowassa, tuelekeze kwake, sisi tuendelee na mapambano tumuache abwabwaje mpaka koo limkauke. Mwisho nampongeza mheshimiwa Lowassa kwa kweli amenipa kumfahamu vizuri kuwa ni mwana siasa aliyekomaa kwa kuacha kujibishana na waswahili. Hongera sana Lowassa kura yangu inaenda kwa mtu makini.

Nami nskupongeza kwa kuwa wewe ni mtu makini,hongera sana
 
Ni bora tujue uweli babu kanunuliwa kwa bei gani..sio anakuja na ngojera eti tumchague nusu fisadi...hahahahaa babu umechelewa sanaa nadhani leo umepata salamu toka uwanja wa taifa..Je na wale vijana wa uwanja wa taifa wamehongwa na lowasa au wamebebwa na mabasi...lowasa ndo mpango mzima....simchukii magufuli bali naichukia ccm....
Hoja ya babu kununuliwa imeanzishwa na nani?
Aje na hoja sio mnatuletea Propaganda hapa.
Mnazusha tu maana hata wakati tunasikiliza hotuba ya Slaa kuna watu palepale walipata hisia za kua kanunuliwa. Naona mnajaribu kujengea hoja hisia zenu.

HOJA ZA SLAA ZINA UKWELI?
ZIMEJIBIWA?
 
As received

Kubenea aomba mdahalo na Slaa awe na Mwakyembe na Sitta.. yeye peke yake... Leo yupo Kyela akirudi kesho anawataka... Waende na ushahidi wao wote yeye anaenda na ushahidi wa uhakika kabisa.

Anasema alitaka kukaa kimya lkn Slaa kafanya kosa jana kumtaja ili kumuonyesha hajui kitu anataka kumuaibisha... Pia anao ushahidi kalipwa sh ngp na ficm yy na demu wake Mushumbusi..

Wakikataa mdahalo anaita press conference
Aite tu Press Conference kwa sababu yeye ni msafi.
 
Achaneni naye Dr Slaa atawapotezea muda wa kufanya kampeni na kusema sera zitakazoleta mabadiliko ktk taifa letu

Hawezi kupoteza muda atakuwa anapigwa kwenye majukwaa hadi akimbie maana kaamua kutumiwa kama ile mipira ya kuzuia uzazi baada ya kutumiwa inatupwa
 
Back
Top Bottom