Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Yap. Huyu ndo size ya Slaa
hakuna size ya slaa cdm zaidi ya zitto wa ACT wazalendo,mrudisheni zitto awafanyieni kazi
Yap. Huyu ndo size ya Slaa
Niwekee kwenye MWANAhalisi mimi ni mama lishe kwenye TV sitakuona huwa naanza kuuza chakula saa 12 asubuhi nafunga saa 6 usiku wala TV sina.Ukiniwekea kwenye gazeti nitalisoma kwa wakati wangu.
slaa ameamua kuiua chadema yake kwa mikono yake mwenyewe. hii ni hatari sana aise...
slaa ameamua kuiua chadema yake kwa mikono yake mwenyewe. hii ni hatari sana aise...
nimemsikiliza kwa makini, dk. Willibroad slaa, aliyekuwa katibu mkuu wa chadema na mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka huu.
Akihojiwa na kituo cha televisheni cha star tv, dk. Slaa alimtuhumu edward lowassa kuwa ni fisadi na akataka wananchi kumchagua mgombea mwenye nafuu ya ufisadi. akamtaja john pombe magufuli.
Ameeleza pia kuwa taarifa mpya aliyonayo na ambayo aliitumia katika mkutano wake na waandishi wa habari jumanne iliyopita, kuhusu sakata la richmond, aliipata kutoka kwa dk. Harrison mwakyembe, aliyekuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge, juu ya richmond.
Niliamua kutojibizana na dk. Slaa rafiki yangu wa miaka mingi katika mradi wake huu. Lakini kwa hapa alipofika, uvumivu umenishinda. Sitaruhusu mtu mzima, anayejiita padri na ambaye alitaka kuwa rais wetu, kuendelea kulindanganya taifa na kuwapotosha wananchi.
Hivyo basi, nimeamua kuanzia leo hii, kukabiliana na dk. Slaa kwa kila kona ili ukweli ufahamike. Kwa kuanzia, leo hii jumamosi, naelekea mkoani mbeya ambako nitahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara katika jimbo la kyera, linaloshikiliwa na mwakyembe, swahiba mpya wa dk. Slaa.
Nikiwa mbeya nitaeleza ukweli wa kilichotokea na kile ambacho dk. Slaa anakificha.
Aidha, nikirejea dar es salaam, nimepanga kuitisha mkutano na waandishi wa habari, kueleza ukweli uliokamilika kuhusu dk. Slaa na mkewe josephine mushumbuzi na sababu
Siamini macho yangu anacho kifanya slaa
Nilitaka kukujibu ila id yako tu imenifanya nikusamehe
Hana mpya huyu,...
Yana faida gani malumbano haya?
NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibroad Slaa, aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akihojiwa na kituo cha televisheni cha Star TV, Dk. Slaa alimtuhumu Edward Lowassa kuwa ni fisadi na akataka wananchi kumchagua mgombea mwenye nafuu ya ufisadi. Akamtaja John Pombe Magufuli.
Ameeleza pia kuwa taarifa mpya aliyonayo na ambayo aliitumia katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumanne iliyopita, kuhusu sakata la Richmond, aliipata kutoka kwa Dk. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa mwenyekiti wa kamati Teule ya Bunge, juu ya Richmond.
Niliamua kutojibizana na Dk. Slaa rafiki yangu wa miaka mingi katika mradi wake huu. Lakini kwa hapa alipofika, uvumivu umenishinda. Sitaruhusu mtu mzima, anayejiita padri na ambaye alitaka kuwa rais wetu, kuendelea kulindanganya taifa na kuwapotosha wananchi.
Hivyo basi, nimeamua kuanzia leo hii, kukabiliana na Dk. Slaa kwa kila kona ili ukweli ufahamike. Kwa kuanzia, leo hii Jumamosi, naelekea mkoani Mbeya ambako nitahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara katika jimbo la Kyera, linaloshikiliwa na Mwakyembe, swahiba mpya wa Dk. Slaa.
Nikiwa Mbeya nitaeleza ukweli wa kilichotokea na kile ambacho Dk. Slaa anakificha.
Aidha, nikirejea Dar es Salaam, nimepanga kuitisha mkutano na waandishi wa habari, kueleza ukweli uliokamilika kuhusu Dk. Slaa na mkewe Josephine Mushumbuzi na sababu
DAKTARI W.SLAA MCHAFU HASAFISHIKI MBELE ZA MUNGU WALA WANADAMU WANAOMTUMIA KUPINGA MABADILIKO WANAJIMALIZA WENEYEWE:
KWA NINI?
KWA SABABU:
1)ALIKOSA UAMINIFU KWA MUNGU AKAAMUA KWA TAMAA ZAKE KUVUNJA KIAPO CHA DARAJA LA MILELE LA UPADRE/UTAWA,HAPA NI KUSEMA ALIMKATAA MUNGU AMBAYE WALIAGANA KUFANYA KAZI NAYE;HII NI LAANA,
2)ALIVUNJA KIAPO CHA UTIIFU KWA PONTIFU/BABA MTAKATIFU,HII NI LAANA,
3)ALIINAJISI MADHABAHU YA MUNGU,ALTARE KWA KUZAA NA MWANAMKE BADO AKIWA PADRE,IKUMBUKWE MAPADRE WA DARAJA KA KINA SLAA WANA CHASTITY ORDER/KUISHI BILA KULALA NA MWANAMKE KINGONO,HII NI LAANA,
4)DAKTARI SLAA ALIPOMWACHA ROSE KAMILI ILI HALI TAYARI KESHA MZALISHA MTOTO MBELE ZA MUNGU NI DHAMBI TENE INAYOMFANYA MUNGU AACHILIE SPIRIT OF REJECTIO JUU YA MTENDA DHAMBI YA KUMWACHA MKE/MME WA UJANA,HII NI KULINGANA NA MAANDIKO MATAKATIFU YAITWAYO BIBLIA KATIKA;
MALAKI 2:14;16"...kwa sabab BWANA amekuwa shahidi kati ya wewe na mke wa ujana wako,uliyemtenda mambo ya hiana,angawa yeye ni mwenzako,na mke wa agano lako.
Maana mimi nakuchukia kuachana asema BWANA Mungu,..."HII NI LAANA,
5)KITENDO CHA PADRE MWASI NDUGU SLAA KUOA MKE WA MTU YAA MTALAKA WA MTU AITWAYE JOSEPHIME MSHUMBUZI ALIYEKULA KIAPO CHA MILELE NA ME WAKE HALALI ALIYEMTELEKEZA,KITeNDO HIKI MWENYEZI MUNGU ANAKIITA HIANA,TENA MASIHI YESU ANAKIITA ZINAA.HII NI KULINGANA NA MANENO YA BWANA YESU KATIKA,
Mathayo19:..nawaambia ninyi,kila mtu atakayemwacha mkewe...akaoa mwingine azini;naye amwoaye yule aliyeachwa AZINI."
6)DAKTARI SLAA KAUSALITI UMA WA WATANZANIA MASKINI WALIOFANYWA MASKINI NA SEREKALI DHALIMU ZA CCMNA KUAMUA KUIPIGIA DEBE CCM KISAILENSA ILI IRUDI MADARAKANI JAMBO AMBALO HALITAWEZEKANA,LAANA YA MUNGU LAZIM ITAMWANGUKIA TU
ATI POUNDS 1.5 MILION ZA Uk. Zitakuwa sheda kwake na kizazi chake,
Nami namwomba Mungu Amuumbue Upesi Na Josephine amtapeli zote kama adhabu ya kutusaliti.
VIVA Tanzania,
VIVA UKAWA,
VIVA ChaDeMa,
VIVA Mabadiliko
VIVA Eduward N.Lowasa,
Peoplessssssssssssssssss
Mabadiliko Lowasa,
Lowasa Mabadiliko,
Tukutane Oktoba 25 Katika Box la Kura Tukiwa Na vichinjio tayari Kuichinja CCM Na Kuipamba UKAWA.
NA ALAANIWE KILA MTU ASIYEPENDA MABADILIKO,NA KILA MTU ASEME,AMEN,AMIN,AMINA.
VIVA E.LOWASA