Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Kubenea kumvaa Dr. Slaa

Kyela TUNAMKATAA Dr Mwakyemba saa 2 asubuhi hata yy anayajua haya na ndiyo maana anafanya ujasusi ili Magufuli akishinda ateuliwe Ubunge!

Mwanyamaki anamshinda jasusi Dr Mwakyembe Kyela
 
Msaliti silaha padri aliyemuhasi mungu na wanadamu kwa kuitelekeza mbingu, familia na chama kwa uroho wa pesa na tamaa za mwili Kamwe hawezi kurudisha nyuma harakati za mabadiliko.

Huenda wewe ni mchafu zaidi ya Dr. Slaa, kama unayajua maasi ya Dr. Slaa kwa kumnyooshea kidole tuambie wewe umemuasi Mungu kwa mangapi?
 
Hawezi kupoteza muda atakuwa anapigwa kwenye majukwaa hadi akimbie maana kaamua kutumiwa kama ile mipira ya kuzuia uzazi baada ya kutumiwa inatupwa
mkuu mwambie hakuna mda wa kupoteza hapo as tulishapiga kura mioyoni mwetu zamaaani tunasubiri kuzihamishia kwny karatasi tuu..hakuna haja ya kampeni wala
 
Msaliti silaha padri aliyemuhasi mungu na wanadamu kwa kuitelekeza mbingu, familia na chama kwa uroho wa pesa na tamaa za mwili Kamwe hawezi kurudisha nyuma harakati za mabadiliko.
jana kuna jamaa alinambia kabla ya kuwa padri kamili kuna viapo unapewa vya kulazwa chini na kuombewa na na maaskofu na mapadre wasiopungua 30 na akamalizia hakuna padre alieacha upadre halafu akawa na akili timamu
 
Kubenea nilikuwa nakuheshimu sana kwa gazeti lako la mwanahalisi na jinsi uluvyokuwa unapinga ufisadi. Ila sasa heshima yangu hupati na sitasoma chochote ambacho jina lako linatokea. Kumbe nawewe ni mtu wa conspiracy theory.
 
Hivi zile voices of reason ndani ya Chadema zimekwenda wapi? Sitaki kum-hold Lowassa kuwa ndio sababu ya kupotea kwa busara ndani ya chama hicho, ambacho kabla ya ndoa ya Ukawa na baadae ujio wa Lowassa, kilikuwa chama kikuu cha upinzani.

Kubenea ana haki ya kikatiba kufanya lolote apendalo lakini haihitaji busara japo kidogo kuwa he has more to gain kwa ku-focus katika kibarua kinachomkabili kwenye jimbo analowania ubunge kuliko hayo malumbano anayotaka kuyaanzisha dhidi ya Dkt Slaa. Suppose akishinda malumbano hayo kisha akapoteza ubunge, kipi kitakuwa na faida?

Ninachokiona sasa ndani ya Chadema/UKAWA ni ukosefu wa strategy ya ku-deal na Slaa. Mara huyu kasema hili, yule kasema lile, muda unakwenda. Ni muhimu kutambua kuwa Dkt Slaa si mgombea ubunge au urais. Muda wowote unaopotezwa kulumbana nae unawaathiri zaidi Chadema/UKAWA kuliko yeye. He has got nothing to lose (ameshapoteza nafasi yake ya uongozi, anyway) but akina Kubenea na Chadema/UKAWA have got everything to lose.

Kama Kubenea, Chadema au UKAWA wanaamini kuna upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Dkt Slaa, suluhisho sio kubishana nae kwenye majukwaa ya kuombea kura (I repeat yeye si mgombea wa nafasi yoyote) bali MAHAKAMANI.Chadema ina mawakili kadhaa wasomi: Marando, Prof Safari, Lissu,nk. Kwanini wasomi hawa wasishughulikie tatizo hili kisheria kama wanaamini kuna kosa linafanyika?

Wasiwasi wangu ni kwamba Chadema inajitwisha mzigo isiostahili: wakati jukumu la kumsafisha Lowassa halijakamilika, wanajitwisha mzigo mwingine wa kumchafua Dkt Slaa. Busara zatukumbusha kuwa MSHIKA MAWILI MOJA HUMPONYOKA. Wanaweza kushinda katika kumchafua Dkt Slaa, lakini wakafeli kushinda uchaguzi (najua kuna wengi hawataki hata kusikia neno KUSHINDWA japo wanatambua sio tu na CCM ileile inayoshinda 'kimiujiza' kila uchaguzi bali wanashiriki uchaguzi ilio katika mfumo uleule unaoiwezesha CCM kushinda kiurahisi)

Kuna yeyote anayetambua kuwa (a) katika uchaguzi kuna kushinda au kushindwa (b) there's life after the election? Priority kwa sasa iwe katika kushinda uchaguzi, lakini with a realisation kuwa iwapo kura hazitotosha, Chadema shurti iendelee kuwa hai, unless imani ya mabadiliko ina lifespan isiyozidi Oktoba 2015.

Sitarajii ushauri huu kusikilizwa kwa sababu inaelekea wengi wetu tumeamua kutanguliza emotions in front of common sense, and that's quite dangerous.
 
Hiyo move mimi binafsi sijapendezwa nayo kabisa. Mimi napendekeza kazi hiyo akabidhiwe Rose Kamili.
 
Nikikumbuka jinsi watekaji wa Dr.Ulimboka walivyoumbuliwa hadi gazeti la mwanahalisi likafungiwa natarajia Slaa kuachwa uchi kabisa kwa yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya
 
Nikikumbuka jinsi watekaji wa Dr.Ulimboka walivyoumbuliwa hadi gazeti la mwanahalisi likafungiwa natarajia Slaa kuachwa uchi kabisa kwa yote aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya

Kwanini usiangalie upande wa pili wa shilingi, kwamba Kubenea na umahiri wake alishindwa kuwaumbua waliommwagia tindikali? Kipi cha kumuumiza zaidi kati ya kauli za Dkt Slaa na tindikali iliyomwachia Kubenea ulemavu wa jicho?
 
hivi hili jimbo mwakyembe si amepita bila kupingwa? au.
 
Kyela TUNAMKATAA Dr Mwakyemba saa 2 asubuhi hata yy anayajua haya na ndiyo maana anafanya ujasusi ili Magufuli akishinda ateuliwe Ubunge!

Mwanyamaki anamshinda jasusi Dr Mwakyembe Kyela

mkuu mbona nilisikia kyela mgombea wa ccm kapita bila kupingwa.
 
Mwakyembe jiuzulu kugombea
 

Attachments

  • 1441501374458.jpg
    1441501374458.jpg
    40.6 KB · Views: 290
Hawa wanaohangaika kuchafua slaa na kumsifia lowasa ni hawa pia walikuwa wanamsifia slaa na kuchafua lowasa 2010, kwahy hakuna cha mabadiliko wala nn, time will tell.
 
Kweli siasa ya Tanzania ni za kutafutia shibe matumbo kwani Kubenea ni moja ya mwanahabari niliyemwamini sana kipindi hicho akichambua habari ya Richmond,Dowans na ufisadi enzi zile lakini kwa sasa si yule niliyemfahamu kwa sasa nae anasaka ulaji hivo ni lazima atatetea kule anakokula kwa sasa. Pia nafikiri kwa sasa makala zake zitakuwa zinaegemea upande anaoamini na si katika weledi wa uandishi na hivo kuharibu maana ya uandishi.

Acha kulialia Kubenea atabaki mwandishi Bora,subiri mzee wa mihogo aumbuliwe na mkakati wake feki, daktari wa mihogo analubuniwa kwa vipande 1.5m vya pounds?
 
Hiyo move mimi binafsi sijapendezwa nayo kabisa. Mimi napendekeza kazi hiyo akabidhiwe Rose Kamili.

Rose ameshafungwa mdomo, Mushumbusi amemtaka awaambie watanzania sababu ya yeye kuachwa na slaa, hahaha hawezi kurudi tena.
 
Back
Top Bottom