AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
Said kebenea bora umuumbue huyu babu msaliti
Achaneni naye Dr Slaa atawapotezea muda wa kufanya kampeni na kusema sera zitakazoleta mabadiliko ktk taifa letu
Sawa kubenea ila naww ile mwanaalisi online ufute maana ulimfumua sana s Lowasa ila leo ndio kawa mtu wako hivo
NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibroad Slaa, aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akihojiwa na kituo cha televisheni cha Star TV, Dk. Slaa alimtuhumu Edward Lowassa kuwa ni fisadi na akataka wananchi kumchagua mgombea mwenye nafuu ya ufisadi. Akamtaja John Pombe Magufuli.
Ameeleza pia kuwa taarifa mpya aliyonayo na ambayo aliitumia katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumanne iliyopita, kuhusu sakata la Richmond, aliipata kutoka kwa Dk. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa mwenyekiti wa kamati Teule ya Bunge, juu ya Richmond.
Niliamua kutojibizana na Dk. Slaa rafiki yangu wa miaka mingi katika mradi wake huu. Lakini kwa hapa alipofika, uvumivu umenishinda. Sitaruhusu mtu mzima, anayejiita padri na ambaye alitaka kuwa rais wetu, kuendelea kulindanganya taifa na kuwapotosha wananchi.
Hivyo basi, nimeamua kuanzia leo hii, kukabiliana na Dk. Slaa kwa kila kona ili ukweli ufahamike. Kwa kuanzia, leo hii Jumamosi, naelekea mkoani Mbeya ambako nitahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara katika jimbo la Kyera, linaloshikiliwa na Mwakyembe, swahiba mpya wa Dk. Slaa.
Nikiwa Mbeya nitaeleza ukweli wa kilichotokea na kile ambacho Dk. Slaa anakificha.
Aidha, nikirejea Dar es Salaam, nimepanga kuitisha mkutano na waandishi wa habari, kueleza ukweli uliokamilika kuhusu Dk. Slaa na mkewe Josephine Mushumbuzi na sababu
Nilitaka kukujibu ila id yako tu imenifanya nikusameheKwa hiyo umeamua kupambana na kivuli chako, wewe na Ulimboka mlilipwa kiasi gani hata mkaamua kubana Pumzi kama siyo Usaliti?
Kumbuka vita hii ni kubwa siyo size yako, huku ni kupoteza muelekeo Jimboni kwako uko 15% kaeni CDM mjipange upya vinginevyo hata kidogo mtakipoteza.
Kubenea safi sana mtafute na Yericko Nyerere akupe data nyingine za mshumbusi kuhusu 1.5m £.
Yana faida gani malumbano haya?NIMEMSIKILIZA kwa makini, Dk. Willibroad Slaa, aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akihojiwa na kituo cha televisheni cha Star TV, Dk. Slaa alimtuhumu Edward Lowassa kuwa ni fisadi na akataka wananchi kumchagua mgombea mwenye nafuu ya ufisadi. Akamtaja John Pombe Magufuli.
Ameeleza pia kuwa taarifa mpya aliyonayo na ambayo aliitumia katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumanne iliyopita, kuhusu sakata la Richmond, aliipata kutoka kwa Dk. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa mwenyekiti wa kamati Teule ya Bunge, juu ya Richmond.
Niliamua kutojibizana na Dk. Slaa rafiki yangu wa miaka mingi katika mradi wake huu. Lakini kwa hapa alipofika, uvumivu umenishinda. Sitaruhusu mtu mzima, anayejiita padri na ambaye alitaka kuwa rais wetu, kuendelea kulindanganya taifa na kuwapotosha wananchi.
Hivyo basi, nimeamua kuanzia leo hii, kukabiliana na Dk. Slaa kwa kila kona ili ukweli ufahamike. Kwa kuanzia, leo hii Jumamosi, naelekea mkoani Mbeya ambako nitahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara katika jimbo la Kyera, linaloshikiliwa na Mwakyembe, swahiba mpya wa Dk. Slaa.
Nikiwa Mbeya nitaeleza ukweli wa kilichotokea na kile ambacho Dk. Slaa anakificha.
Aidha, nikirejea Dar es Salaam, nimepanga kuitisha mkutano na waandishi wa habari, kueleza ukweli uliokamilika kuhusu Dk. Slaa na mkewe Josephine Mushumbuzi na sababu
Hizo zilikuwa tuhuma. Alikosa ushahidi
Yeye sio mwanasiasa siasa.Msaliti Silaha muda si mrefu tutamsahau katika ulimwengu wa Siasa....