Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Hapa na pale sio forgery ni mfumo halali. Wapo watu ni maprofesa wazuri lakini kwa kupitia mfumo wa hapa na pale.Hata mwenye elimu ya hapa na pale nae anahoji vyeti vya Makonda.Binadamu wepesi sana kujisahau
Kubenea ni mpambanaji ndio maana hata kwa elimu ya hapa na pale bila kufoji chochote amefikia hapo alipo. Wangapi na elimu yao ya straight wanazunguka na bahasha ya vyeti mpaka wanachanganyikiwa bila kufanikiwa?
Nawapenda sana vijana wenye courage kama Kubenea