Jibu langu hautalipenda kwa sababu sina akili sawa boss.Kama una akili sawa je watu kama Bashite unawaweka upande gani?
Jibu langu hautalipenda kwa sababu sina akili sawa boss.Kama una akili sawa je watu kama Bashite unawaweka upande gani?
Mwehu nawapenda wakenya mbunge wa jimbo lingine akiingilia kuongelea jimbo la mbunge mwingine anamfuata na kumtandika mingumi bungeni kwamba kwa nini unaniingila jimbo langu kwa nini usiongelee lako? Zungu alitakiwa amfuate kubenea ampe Kipigo studio ya clouds iko ilala huyo kubenea yanamhusu nini maruhuni mkubwa kwake jimbo lina matatizo lukuki kwa nini arukie majimbo ya wengine? Zungu wake up nenda kajifunze ngumi na judoNi zaidi ya wanaubungo, watanzania wote wanalia na huyo bashite kasoro poor minded people kama wewe
hahahhaha aliwaita wenye vyeti mizigo kumbe yeye ndo mzigoIla ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Jibu langu hautalipenda kwa sababu sina akili sawa boss.
Mimi sio MTU wa siasa hayo mnayosema huwa siyajuiNasikia sio buku7 ni buku3
Usinilazimishe kujua kitu ambacho sikijui.Usijafanye hujui ww
Basi wenzako wanalipwa ati...we unapiga hii kazi bure,una moyo!!!Mimi sio MTU wa siasa hayo mnayosema huwa siyajui
Kubenea ni moja ya Wabunge ambao hawatarudi Bungeni 2020 hana anachofanya Ubungo

udumu S. Kubenea mbunge wa Taifa letu TZ ! Keep on going my Brother! We believe in You!CCM wamemuweka Bashite Kama Sacrifical lamb kuwapotezea Muda Wanasiasa , Mijadala Mingi ya Msingi imekosa mvuto kwa kuwa wote wapo na Bashite!
Bunge la Bajeti linaendelea badala ya kuibana Serikal kuhusu utekelezaji wa Bajeti iliyopita wao wamekazania ya Bashite!
Wanasiasa wetu wa Upinzani huwa wanacheza ngoma zinazopigwa na CCM kwa Ujinga wao bila ya kujijua
Jembe la wapi kuongelea mambo ya ilala wakati kwake ubungo kuko how?Mkuu mbona naona kama ni mapema mno kuanza kumhukumu kiasi hicho? Unatumia vigezo gani ktk kumfanyia performance appraisal? Kubenea ni Mtu anaejielewa vizuri, ni mchapa kazi hodari, ni JEMBEudumu S. Kubenea mbunge wa Taifa letu TZ ! Keep on going my Brother! We believe in You!
Usimpangie. Kawaambie wewekilaza kubenea!!
kwann usiwaambie clouds wakafungua kesi??
Mimi ni mtanzania kama wewe tunaongea Maslahi ya TaifaBasi wenzako wanalipwa ati...we unapiga hii kazi bure,una moyo!!!
Hapo unatetea maslahi ya nani kama sio Bashite...Mimi ni mtanzania kama wewe tunaongea Maslahi ya Taifa
Kilichomkimbiza John Mnyika Jimbo la Ubungo nakiona kwa Mbunge Kubenea uwezekano wa 2020 kurudi Bungeni ni mdogo sana!!Mkuu mbona naona kama ni mapema mno kuanza kumhukumu kiasi hicho? Unatumia vigezo gani ktk kumfanyia performance appraisal? Kubenea ni Mtu anaejielewa vizuri, ni mchapa kazi hodari, ni JEMBEudumu S. Kubenea mbunge wa Taifa letu TZ ! Keep on going my Brother! We believe in You!
Bashite ni nani??Hapo unatetea maslahi ya nani kama sio Bashite...
CCM wanacha maana wanachojua bungeni zaidi ya ndioooo. Hiyo bajeti unayozungumzia hata 30% ya fedha zinazopitishwa hazitolewi. Unajua bajeti hii tunayomaliza nayo imetekelezwa kwa asilimia ngapi?
Hahahaha kwahyo anataka watu wanune tuu?Ila ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Wachoke vipi wakati wengine wamefukuzwa?Ila tangu waanze kulisema suala Bashite, sion dalili za kuchoka. Watu bado wamekomaa nae tu.
Huu msemo unahitaji marekebisho
"Watasema wakichoka watalala"
Huu mfano wako naulinganisha na huu.2005 CCM 81% , 2010 CCM 63% , 2015 CCM 56% , 2020 Load......Tatizo lako hujanielewa sio kuwa unapinga nilicho comment !
Kumbuka Mbinu za Kisiasa zinabadilika!
2008 Mlisogezewa la Richmond mkaachana na Jk mkamkomalia Lowassa mkidhani mnamuumza JK
2011 Nguvu kubwa ikatumika kuwapeleka kunywa Vikombe kwa Babu wa Loliondo na ili kuwatia ndimu TFDA ikatishia Kama kumfungia Babu Watu wakaja juu wakidhani wanaizodoa Serikal
2016- to date Talk of Town ni Bashite na Serikal imetambua hilo kuwa itawasaidia kupumua kwa kuwa Tangu Bashite awe ndo Talk of town Mijadala yote ya Kisiasa na Kijamii imepoa,
Bajeti zinapitishwa kiulaini, Hakuna Tena Mijadala ya kwanini Hakuna Mikutano ya siasa, ubishi wa Ama kuna njaa or not imekufa, sakata la Fedha za Rambirambi n.k yote imekufa au kupoa na Serikal inajua kabisa ikiruhusu sakata la Bashite kwisha maana yake ni kufungua Fursa ya Mijadala Mwingine iibuke na kuanza kuipa tabu Serikal!
Nani anajadili Tena Mikopo ya Wanafunzi kwa uzito Mkubwa Kama zamani?
Mjadala wa Bashite unainufaisha zaid CCM kuliko Wapinzani
Ni ukweli mchungu. Serikali za CCM hazijawahi kuwa sikivu. Kelele za wapinzani hazisaidii sana! Kazi ni yetu sisi raia. Tukitegemea wapinzani ndiyo waiwajibishe serikali, tutasubiri mpaka kiama. Hivyo, ni heri wapinzani wacheze freestyle tu! Likija suala la Bashite wamo; suala la terrible teens wamo; suala la bajeti ya maigizo wamo n.k. Let them be na wale bata la kutosha. Taifa la mazuzu hili. Tena nami nataka nigombee ubunge hata kwa CCM ili nami nile nchi, kulaleki!Bunge la Bajeti linaendelea badala ya kuibana Serikal kuhusu utekelezaji wa Bajeti iliyopita wao wamekazania ya Bashite!
Wanasiasa wetu wa Upinzani huwa wanacheza ngoma zinazopigwa na CCM kwa Ujinga wao bila ya kujijua