Bashite ni nani?Ila tangu waanze kulisema suala Bashite, sion dalili za kuchoka. Watu bado wamekomaa nae tu.
Huu msemo unahitaji marekebisho
"Watasema wakichoka watalala"
Inashangaza sana mkuu.Hata mwenye elimu ya hapa na pale nae anahoji vyeti vya Makonda.Binadamu wepesi sana kujisahau
Yule ambaye wewe unamteteaBashite ni nani?
HahaIla tangu waanze kulisema suala Bashite, sion dalili za kuchoka. Watu bado wamekomaa nae tu.
Huu msemo unahitaji marekebisho
"Watasema wakichoka watalala"
Ila ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Kwaiyi mnataka wahoji wasomi tu wengine hawana haki ya kuhoji ng'ombe nyieInashangaza sana mkuu.
Hata mm simjuiSory mkuu hapo huyo bashite ndo yupi![]()
Ishu ya bashite haitaisha. Hata baada ya miaka 10. Ikiingia sirikalo nyingine, bashite atashitakiwa tu.Old news!
Sasa hivi tukio linalobamba ni ndege....
Sawa mkuu kweli kabisa,sheria ishughurikie woote sio watu fkan tuMbona watu wamepoteza kazi kwa vyeti fake nae aende ndio haki
Kweli mkuuImani ya wananchi kwa serikali inazidi kupungua ukiangalia viongozi wanalindwa kwa makosa ya jinai
Mimi namtetea nani?Yule ambaye wewe unamtetea
Kiongozi gani analindwa kwa kutenda jinai,na analindwa na nani?Imani ya wananchi kwa serikali inazidi kupungua ukiangalia viongozi wanalindwa kwa makosa ya jinai
Inauma sana mkuu mtu badala ya kusimama akipewa nafasi na spika aeleze matatizo ya wapiga kura wake anajikita kwenye hoja hewa ambazo hata zijibiwe vizuri vipi hazileti maji wala kutatua kero halisia za jimbo lake.Hovyo kabisa upinzani hawajielewi na hawaelewi wameenda kufanya nini bungeniHapo ndio amewatetea wanaubungo?