Huu mfano wako naulinganisha na huu.2005 CCM 81% , 2010 CCM 63% , 2015 CCM 56% , 2020 Load......
Kwa Makusudi kabisa au sijui ulikuwa Mtoto umesahau kuwa 1995 CCM ilipata 61%, 2000 ikapata 75% na 2005 ikapata 82%.
Graph ili ipande lazima iwe chini hivyo usistuke kushuka kwa graph kwani hii sio Mara ya kwanza!
TANU iliwachukua Miaka 7 kuleta Uhuru 1954-1961
ASP iliwachukua Miaka 7 kuleta Mapinduzi Visiwani 1957-1964
Wapinzani wetu wanatimiza robo karne sasa 1992-2017 hata theluthi Moja ya Wabunge hawajafikisha lakin wanajisifu kupunguza asilimia za Ushindi za CCM !

