mpambichile
Member
- May 2, 2017
- 34
- 43
Huyu jamaa ni mbunge wangu hapa Ubungo,but sioni ambacho anakifanya zaidi ya maneno ya mipasho like mwanamke wa saloonKubenea ni moja ya Wabunge ambao hawatarudi Bungeni 2020 hana anachofanya Ubungo
Huyu jamaa ni mbunge wangu hapa Ubungo,but sioni ambacho anakifanya zaidi ya maneno ya mipasho like mwanamke wa saloonKubenea ni moja ya Wabunge ambao hawatarudi Bungeni 2020 hana anachofanya Ubungo
Baada ya kurudi shule au?Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Wanayoyasema sisi ndio tunayatakaBashite ni nani?? Watasema wakichoka watalala!!
2020 kuna baadhi ya Wabunge hawatarudi Bungeni kwa sababu wameacha kufanya mambo ya msingi kuhusu majimbo yao wamebaki na habari za Gwajima na Mange!
Hakuna shida 2020 iko mlangoni we will see!!Hayo
Wanayoyasema sisi ndio tunayataka
Hawa tutawachagua tena kwa kishindo.
Wale wanalonyamazia swala LA Bashite wajiandae kutorudi bungeni.
Mmh,mkuu hata mke anaweza asijue hilo si mmekutana wakubwa tu.Kwani wewe ni mke wa kubenea?
Ninaamini kuwa Nimekuelewa vizuri.CCM wamemuweka Bashite Kama Sacrifical lamb kuwapotezea Muda Wanasiasa , Mijadala Mingi ya Msingi imekosa mvuto kwa kuwa wote wapo na Bashite!
Bunge la Bajeti linaendelea badala ya kuibana Serikal kuhusu utekelezaji wa Bajeti iliyopita wao wamekazania ya Bashite!
Wanasiasa wetu wa Upinzani huwa wanacheza ngoma zinazopigwa na CCM kwa Ujinga wao bila ya kujijua
Viashiria gani unatumia kufikia hitimisho hilo? Au usikute uko ndotoni na ukiamka anaendelea kuviona viashiria vya Makonda aka Bashite kuendelea kupungukiwa na ukubali wa wengi?Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Tangu Makonda awe mkuu wa mkoa, nini cha maana amefanya?Makonda huenda akawa ni kiongozi bora zaidi kwa siku zijazo....
Akili zako hazikutoshi, wewe mwenyewe huna cheti, Baba yako hana cheti, mama yako ndiyo kabisaaa.Ila ukweli bashite kiburi chote kimeisha. Sasa hivi unaambiwa hata ofisini kwake pale Ilala akiona mtu anacheka anakunja USO akidhani anachekwa yeye. Na zile lugha za majidai hazipo tena
Nina hakika kubenea ni kicheba Kuliko ni mchakarikaj Sana IQ yake Ni Kubwa Kuliko yako, Mwulize Hammad Rashid atakuelezaUhakiki wavyeti ukiingia bungeni Kubenea atapona?
Safi na bado