Kubenea azidi kumkalia kooni Bashite

Kubenea azidi kumkalia kooni Bashite

Hama kwaniumelazimishwa kuishi hapa??jinga kabisa,wauza unga wanalia kila kukicha makonda kawakamata vizuri sana safiii sana mkuu wangu Wa mkoa,tunakuunga sana mkono
 
CCM wamemuweka Bashite Kama Sacrifical lamb kuwapotezea Muda Wanasiasa , Mijadala Mingi ya Msingi imekosa mvuto kwa kuwa wote wapo na Bashite!

Bunge la Bajeti linaendelea badala ya kuibana Serikal kuhusu utekelezaji wa Bajeti iliyopita wao wamekazania ya Bashite!

Wanasiasa wetu wa Upinzani huwa wanacheza ngoma zinazopigwa na CCM kwa Ujinga wao bila ya kujijua
CCM wanacha maana wanachojua bungeni zaidi ya ndioooo. Hiyo bajeti unayozungumzia hata 30% ya fedha zinazopitishwa hazitolewi. Unajua bajeti hii tunayomaliza nayo imetekelezwa kwa asilimia ngapi?
 
Wanaubungo walimtuma akamchambe huyo anayemchamba au walimtuma awaletee maendeleo? Hovyo kabisha
Hivi ccm hivi vichwa vyenu vina mdudu gani kichwani? Au mlimtuma akavamie clouds media?
 
Uyo bi mkubwa wa cuf nimemkubali kwa kupanga hoja mungu ampe kila la kheri kamzidi le prof pumba
 
Bashite ni nani?? Watasema wakichoka watalala!!

2020 kuna baadhi ya Wabunge hawatarudi Bungeni kwa sababu wameacha kufanya mambo ya msingi kuhusu majimbo yao wamebaki na habari za Gwajima na Mange!
Nasikia sio buku7 ni buku3
 
Anaacha kukalia kooni na kutatua shida za wapiga KURA wake. Watu wa aina hii ni hatari sana katika jamii.

Kama una akili sawa je watu kama Bashite unawaweka upande gani?
 
Hivi ccm hivi vichwa vyenu vina mdudu gani kichwani? Au mlimtuma akavamie clouds media?
Hiyo studio unayotuhumu kuwa ilivamiwa iko jimbo la ubungo? Maruhuni wewe? Mambo ya ilala yana uhusiano gani na mbunge wa ubungo? Shenzi type shughulikia ya jimboni kwako.wapiga kura ubungo walikutuma ukashughulikie ya watu wa Jimbo la ilala?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Shetan huandama watu ambao badae watakuja kuwa mwiba kwake makonda atalindwa na damu ya yesu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom