Kubenea apandishwa Mahakamani leo

Wakuu hebu tuwekeni ushabiki wa kisiasa pembeni......kutumia lugha chafu kwa mtu kama mbunge sio jambo lenye kupendeza.....kitendo alichokifanya bwana kubenea kumuita mkuu wa wilaya kuwa ni kibaka tena mbele ya wananchi ni kitendo cha kufedhehesha na kudhalilisha......hii inaonyesha ni jinsi gani waheshimiwa wetu wasivyo na hekima........hata hawafikirii kabla ya kutenda.......ninaamini kabisa kama utatenganisha chuki za kisiasa na kuuangalia uhalisia utagundua kuwa alichokifanya kubenea sio sahihi....
 
wastage of resources, misallocation of resources! rubbish! what kind of leaders we have? ovyo kabisa!

Jazba kama kubenea! chimbeni mashimo mjifukie wenyewe. Mmeambiwa serikali ipo, na serikali ni ya John Pombe Magufuli. Vimisamiati vyenu pelekeni shule za kata huko ndiko watavishangaa
 

Mbona Makonda alivyo mpiga Warioba hakukamatwa na polisi wala kupandishwa kizimbani?
 

Mkuu tathimini safi !
Ila umesahau jambo mmoja-kuwa Makonda kwa sasa anajaribu kujionyesha kuwa anaweza kwenda na kasi ya Hapa Kazi tu-kabla panga pangua ya Madc-haijaanza kutimua vumbi!.
Na namna mmoja wapo ndiyo hiyo ya kuwashughulikia wapinzani!. Na hii ndiyo kazi hasa ya Madc inayoonekana wakifanya kwa ufasaha kuliko shida za wananchi.

 
Eti lugha chafu, hivi huyu makondaa kasahau alivyomtukanaga lowasa? Kumbe mkuki kwa nguruwe eeeeh
 
Watu Kama Kubenea Ndo Dawa Yao Hii. Wajue Kwamba Serikali Ipo Na Wawe Na Didhamu Kwa Mamlaka Za Kiutawala. Big-up Makonda
 
Imeniuma saana mbunge wangu kusekwa ndani.hivi huyu mbona anatumia madaraka vibaya
 

mizimu ya kumpiga yule mbabu wa watu asiyekuwa na hatia bado yanamwandama enhee?
 
Inaelekea CDM wamepata Lema mwingine. Suala la maendeleo jimboni kwake sio kipaumbele. La maana kwake ni media attention!
Ni wonder ni " mhandishi" wa habari.
 

Gharama za kuendesha kesi ni ya walipa kodi enhee? mh. Rais angalia watendaji wako hawana leadership skills. Wanajikosha ili waendelee kupewa nafasi. alianza kwa kumfunga Ritz viatu, akampiga babu, kaweka watumishi wa ardhi lock up na sasa amemshitaki mh. Mbunge.
 

Huo muda ungelekezwa kwa wakwepa kodi, kuzoa taka za mh. Magu zilizokusanywa bila kuzolewa kwa wiki nzima sasa
 
mizimu ya kumpiga yule mbabu wa watu asiyekuwa na hatia bado yanamwandama enhee?

Babu mwenyewe ashajishushia hadhi hivyo hana muzimu wowote, nadhani huu ni mzimu wa raia ambao hawakufurahia kile kitendo
 
Inaelekea CDM wamepata Lema mwingine. Suala la maendeleo jimboni kwake sio kipaumbele. La maana kwake ni media attention!
Ni wonder ni " mhandishi" wa habari.

Ukiandika utumbo lazima utaandika hovyo tu
 
Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mkuu wa Wilaya yaTemeke hawapo? Sijawahi kuwasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…