Kubenea apandishwa Mahakamani leo

Kubenea apandishwa Mahakamani leo

Alipomzaba kibao Warioba Mahakama zipi zilimfunga? Kalamu ya Kubenea si ndo inamsaisia Magufuli kumulika TRA?TPA na kwingineko Mkuu? tumia bongo kufikiri, achana na mambo ya ccm mbele kwa mbele!
Kalamu ya Kubenea inatumika kusafisha mafisadi. Mwongo na mzushi mkubwa huyu. Anapaswa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kwa uongo aliotuaminisha kwa miaka mingi
 
Magufuli kama kweli anataka twendane na motto ya hapa kazi tu amtoe huyu Makonda maana anamuaribia.Mimi nimewahi sema humu huyu kapewa viatu vikubwa kuliko uwezo wake kwa kulipa fadhila bila kujua analiumiza taifa,yeye anafikiri Magufuli anapenda hivyo kumbe laah,ni wakati wa kuwatoa ma DC waigizaji kama makonda.
 
mim najua nchi imekabidhiwa kwa wahun kila mmoja anaweza kumuweka ndan mwenzie
 
CCM kipindi cha kampeni waliendesha kampeni za matusi, akiwepo magu kupiga push up kudhihaki afya za wengine mbona hakuna aloshtakiwa??? Bila kumsahau mzee wa wapumbavu na malofa kutukana watanzania???
 
Back
Top Bottom