msure wako ni noma.Hivi ' Mshua ' hata leo Idi el Fitr bado tu ' anawakimbiza ' mchaka mchaka ' Watendaji ' wake? Kweli HAPA KAZI TU!
J
msure wako ni noma.
hapo ni namba za kawaida bado za kirumiNimecheka sana.
Imenibidi ni zoom in nione kama kweli ni chipsi mayai na hamad, ni kweli.
Hahahaaa.....Ngosha doesn't play.
akiitisha baraza la mawaziri xmass,pasaka au ijumaa kuu mnitagHivi ' Mshua ' hata leo Idi el Fitr bado tu ' anawakimbiza ' mchaka mchaka ' Watendaji ' wake? Kweli HAPA KAZI TU!