Jamaa yangu kanijia anaomba ushauri,ana sema huu ni mwezi wa pili hajamjua mkewe anasema kila akimwambia anasema amechoka au anaumwa, anasema amejaribu mpaka outing lakini wapi mkewe anashilia msimamo ule ule amechoka hajisikii vizuri,
Pia akesema hapo nyumbani kuna house girl wao anamtaka lakini anamkatalia kwa kumuheshimu mkewe kwa kuwa anampenda, lakini kwa hali ilipofikia anaona anashindwa hivyo akamua aje aombe ushauri kwangu ambake mkewe au atembee na house girl wao? mambo ni mengi kuyaandika itakuwa kitabu, hii ni story ya ukweli si ya kutunga so ushauri wako uwe wa ukweli na si matusi asanteni