Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi.

Kwa wale mliokuwa mkikubaliwa for oral interview, hivi ile sentence huwa inabadilika? Mfano kwenye picha nilizoambatanisha, mwanzo ilikuwa selected for oral interview na leo baada ya kuingia nimekuta shortlisted.

NB: tumekwisha kufanya oral interview ya TRA. Na baada ya kufanya nimekuta neno shortlisted na mwanzo ilikuwa selected for oral interview.

Hapo kuna picha mbili tofauti. Position mbili za mwanzo ni picha ya kwanza ambayo niliona wakati nimefanya written

Na position mbili za mwisho ni muonekano wa baada ya kufanya oral

Mwenye ufahamu na hili tafadhali atujuze. Je ni kawaida kuwa hivyo au ni system tu imecheza kidogo

View attachment 2163132
View attachment 2163133
Tuwe na Subrah
 
Sometimes hizi kazi ni shida tu zinatufanya tuzishobokee,leo niko kijiweni kwangu na mvua inanyesha nikaona ugeni wa mabinti wawili wamelowana wanakuja.

kwangu, wakajitambulisha kuwa ni maofisa wa tra wako kwenye ukaguzi wa tin number nikiwauliza sasa mbona mnanyeshewa hivyo wakaniambia kuwa wana target hivyo inabidi wakomae coz mwezi ni kama umeisha vile.

Nimewahurumia sana.
 
Sometimes hizi kazi ni shida tu zinatufanya tuzishobokee,leo niko kijiweni kwangy ba mvua inanyesha nikaona ugeni wa mabinti wawili wamelowana wanakuja kwangu,wakajitambulisha kuwa ni maofisa wa tra wako kwenye ukaguzi wa tin number nikiwauliza sasa mbona mnanyeshewa hivyo wakaniambia kuwa wana target hivyo inabidi wakomae coz mwezi ni kama umeisha vile.
Nimewahurumia sana.

Wezi hao au interns hao au labda ww umeweka chumvi kidogo!!


Sorry for that!!
 
Sometimes hizi kazi ni shida tu zinatufanya tuzishobokee,leo niko kijiweni kwangu na mvua inanyesha nikaona ugeni wa mabinti wawili wamelowana wanakuja kwangu,wakajitambulisha kuwa ni maofisa wa tra wako kwenye ukaguzi wa tin number nikiwauliza sasa mbona mnanyeshewa hivyo wakaniambia kuwa wana target hivyo inabidi wakomae coz mwezi ni kama umeisha vile.
Nimewahurumia sana.
Ofcoz kazi za tra hasa hawa tax management huwa naona wanatembea sana.
 
Back
Top Bottom