Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Kwa muongozo niliopata ni kawaida tu huwa inabadilika badilika hiyo status
Mimi naona ukishafika oral, mambo ya status ya my application haina ishu tena kwani matokeo ya oral ni placements tu, ikitoka na ukaona haupo ujue ama umetemwa au uko benchi kwanza
 
😂😂😂😂hahhhhh mambo ya kukaa benchi kama mlete mzungu
 
Mimi naona ukishafika oral, mambo ya status ya my application haina ishu tena kwani matokeo ya oral ni placements tu, ikitoka na ukaona haupo ujue ama umetemwa au uko benchi kwanza
Nimekubali Shortlisted=Placement

Alhamdulillah 🙏🙏
 
Back
Top Bottom