danieljeneral93
Member
- Mar 22, 2021
- 18
- 20
Habari ndgu zangu, mimi ni mwalimu kitaaluma wa masoma ya History na Geography japo cjaingia kwenye mfumo rasmi wa ajira niko private na nashukuru kwa ninachokipata nmekuja hapa kwenu nahitaji nipate madini maana ndiko dunia ilipo tokea nmemaliza chuo mwaka 2017 bado sioni future ya hiki nlichokisomea nahitaji kuongeza elimu zaidi kwa maana ya MASTERS/POSTGRADUATE yenye tija hivyo naombeni nipate direction ya kozi marketable mtaani kwasasa. Ahsanten sana.