Kubadili majina baada ya kuolewa

Kubadili majina baada ya kuolewa

Dada hapa nazungumzia kwa mume wa ndoa.mi hua siamini ktk negativity.naamini nitakua na mume mwema mambo ya kuachana sijawahi kuyafikiri na hayatatokea kwa jina la Yesu
wakati mwingine ni wanawake wenyewe wanataka kama jina la mume linastatus.....ila kama ndio kajamba nan...ligi inaanza mume akitaka mke abadili
 
Dada hapa nazungumzia kwa mume wa ndoa.mi hua siamini ktk negativity.naamini nitakua na mume mwema mambo ya kuachana sijawahi kuyafikiri na hayatatokea kwa jina la Yesu

ha ha haa namimi nimemuongelea huyo mume, Kama hujawahi ona video ya yule dada aliyemnyoa mchepuko wa mumewe na panga kaitafute!
Nayeye alikua anajitapa sana kwa jina la Yesu nyingii mwishowe ndoa chalii
 
Dada hapa nazungumzia kwa mume wa ndoa.mi hua siamini ktk negativity.naamini nitakua na mume mwema mambo ya kuachana sijawahi kuyafikiri na hayatatokea kwa jina la Yesu

Amen.

Wasichana wa kizazi hiki wamepotezwa na utandawazi..mtu unawezaje kufikiria kuachana wakati ndoa ndiyo inaanza? kweli kabisa????
 
Hiyo Ni Nzuri Sana Dada Na Inamaana Nzuri Kabisa Unapoolewa Unabadiri Jina Pamoja Na Namba Ya Sim Achana Na Hao Wanawaza Kuachika Tu Na Ndiomaana Ndoa Zao Huwa Hazidum Wewe Mtu Gani Mda Wote Unawaza Kuachika Tu? Na Ndio Maana Wanatuchakachua Sana Et Ukienda Kuchota Maji Na Ndoo Razima Uwe Na Kidum Mkononi Ili Maji Yakimwagika Kidum Kikusaidie Hivyo Wakiwa Kwenye Ndoa Wanatafuta Na Vidum Pembeni Pambaafu Tutakuja Tutoane Roho Mchanamchana
 
Ubadili usibadili hakuna ubaya ilimradi upende kimojawapo...suala la kuachana wala mbna usilifikirie mbona hawafikirii kutokuachana??
 
naona kama ni heshima kubwa sana halafu kiafrica zaidi Ina sound vizuri sana
yeah ndo hiko hivyo... ila kwa kizazi cha wanawake wasomi wataona ni uonevu na hawastahiri kufanya hivyo!!! sometimes education ruins us
 
Dada Mnaso hii kitu haikuwa swali miaka miongo (decades) michache nyuma, ila sasa hivi taasisi ya ndoa (traditional marriage) inapigwa vita kila kona. ila kwa kusaidia wana jamvi naona nibandike mawazo ya wengine pia kuhusu faida na hasara za kubadili jina:

THE PROS:
  • · It might make your kids lives easier. Planning on having kids?
  • · It has a better ring to it. If your don’t like your last name – or just really like your fiance’s last name – you have an easy out. You can tell your parental unit it’s a tradition thing so they won’t be offended.
  • · Medical, legal, travel etc. Depending on the country, state or province you live in, changing your name may make dealing with medical issues, filling out legal forms and traveling with kids (especially internationally) that much easier. And beware, even simple things like depositing cheques given as wedding gifts, might be a troublesome.
  • · Family connection. According to about.com many brides feel a stronge sense of family when they decide to change their last name..
  • · Pleasing the masses. Whether you like it or not, some people will automatically assume that you’ve changed your name. They just will.
THE CONS:
  • · It’s an identity thing. From your Facebook account to your Twitter profile, your name is your identity.
  • · It’s a work thing. If you’re a professional or rely on your name for much of your work life, changing it could be an issue. However, if that is the only thing in your way, you might be able to change your name legally while still using your maiden name for work.
  • · You don’t like his last name
 
Habari zenu wakuu,

Natamani kufanya hivyo baada ya harusi yangu na mr right wangu. Mama yangu alibadili majina baada ya kuolewa na baba na mpaka sasa bado anatumia majina ya baba.

Pia nimechunguza sana mama zetu wengi wanaitwa kwa majina ya waume wao mfano regina lowasa, Salma Kikwete na wengineo.Naona kama ni heshima sana kwa mume but sijajua madhara ya kufanya hivyo. Pia wazazi sijui watamind mimi kufanya hivyo.

Naombeni busara zenu wandugu.

Matusi hayaruhusiwi please.

Asanteni

Hasara ni pale utakapoa achwa
 
Uislam Umekataza kubadili jina la baba yako na kutumia la Mume. Baba atabaki baba
 
Ndoa zimekua nyepesi sana siku hizi naona wachangiaji wengi wanakimbilia kuhoji "mkiachana itakuaje" hakuna uhakika tena wa kuishi pamoja kwa muda mrefu.
Wewe badili tu na uchukue jina la mumeo ndio utamaduni wetu huo ingawa kwa asili utakuta vyeti vyako vinabaki vile vile.
 
Hahaha. Umetisha bro. Hebu atujibu. Na mimi nitumie nafasi hii kumuuliza Heaven Sent
kuhusu hiyo Sent.

Teh sent ni la baba bana. Nikiolewa sehemu ambazo sitahitajika kutumia documents zangu kama vyeti na hati basi ntakuwa na extend jina la mzee... Mrs XXx xx, kuonesha kuwa now nimeunganishwa na mtu mwingine. Lakini itakapohitajika kutumia any of my documents , ntaacha tu heaven sent jamani. Ila if my hubby akipendelea zaidi nibadili, basi I won't object ( I belong to my husband's clan now, ndo maana hata nikifa, ntazikwa kwao)

Me nafikiri ni uamuzi wenu nyie wanandoa kuwa mke abadili jina or not. Mkiona abadili sawa, Mkiona asibadili ni sawa pia... Yani ni choice yenu tu as long as hamtoanza kugombana kisa majina

Ila Sidhani kama inadhuru kitu chochote ukibadili jina unless jina la mke ni trademark yake mfano "ritha paulsen" akiolewa na paulo then kuitwa ritha paulo itamuharibia biashara zake. Naona kuextend jina la mumeo iko poa zaidi kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom