Kubadili jinsia (operation)

Kubadili jinsia (operation)

Niambie kabisa kama inatisha niachane nayo nsije nkapata nightmare kisa Boflo, lol!
 
Akili ya mwanadamu inaanza ikiwa tupu, utashi + mazingira; yanajaza nafasi, kitukibaya kabisa kumtokea mwanadamu ni nafasi kutojazwa yote, hapo utupu unashika hatamu, ubongo unapotoa tafsiri mbovu: una kibamia, unawahi kumaliza, nyanyua chuma upendwe na mademu,... Utupu unazidi kuendesha maisha. Mbaya ya yote utupu ukikuambia sasa toa dushelele weka k, utapendwa sana, utatimiza ndoto zako zote!

Vizazi hivi vya miba!
 
Boflo vip unitisha sana eisee mbona hakuna mwanamke anaetamani kuwa mwanaume?
 
Watu wanacheza na sayansi... Interesting...
 
Nimegundua kuwa udaktari unahitaji uwe na saikolojia ya aina yake sio kila mwenye akili na kufaulu masomo ya sayansi anafaa kuwa daktari mpasuaji, chaaaaa najuta kufungua hiyo picha. Nimekumbuka wakatio namaliza O-level mama yangu mkubwa alitaka sana nisomee unesi kisha nije nijiendeleze udaktari as aliniona ninawito from her view ila mie sikukubali kwani nilikuwa nataka kwenda form 5 na hapo ndo nilipoingia channels nyingine tofauti na unesi na udaktari.
Nawashangaa tuu wababa/wanaume wanaopenda kushuhudia wake zao wakijifungua live au wakifanyiwa operation kama huna moyo waweza susa kilakitu.
Mambo haya wanayaweza madaktari na manesi wenyewe mburaaa!!
 
Back
Top Bottom