Habari zenu wakuu!
Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.