Mercedes Benz C Class W204 (M271 Engine) ina ulaji mbaya wa mafuta

mi_mdau

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,104
1,476
Mercedes benz c class w204 yenye M271 engine ina ulaji mbaya wa mafuta (high fuel consumption), inakula kati 6.5-7.2km/litre mjini.

Nimefanya au kucheki vifuatavyo:
Diagnosis (hakuna error au tatizo limeonekana kwenye engine au gearbox au components zinazoendana na hiyo mifumo, hata values ziko poa)
Service (engine oil, filter, air filter, ac filter)
Plugs zimebadilishwa
Alignment, tyre pressure pia iko sawa

alternator pulley haiko sawa ni ya kubadili ila bado haijabadilishwa (sina hakika kama hii ni sababu au la!)

Sijagusa oxygen sensor wala MAF sensor sababu mashine haijasoma chochote ila forums huko mbele kuna mtu alisema ilileta mabadiliko makubwa baada ya kubadili MAF sensor.

Msaada please kwa mtu mwenye idea au uzoefu wa kitu kama hiki kabla sijachokonoa gari
 
Ulivyofanya diagnosis Fuel trims/Adjustments/Compesations ziko vipi?

Spark plug unazotumia ni recommended kwa hiyo engine?

Ukiwa unaendesha ubadilishaji wa gear upo kawaida?

Data za fuel pressure zipoje? Umewahi badili Fuel filter?

Kutosoma code siyo sababu ya kila kitu kuwa sawa.

Kwa ishu yako me naweza kukuassist na vitu viwili.

1. Smoke test, ili kujua kama kuna leak kwenye pipes za hewa.

2. Kuclean injectors kwa sonicator.

0621 221 606
 
Mkuu bana namna gani tena, unaendesha Benz unalalamika mafuta mkuu.

Diagnostic zote zinaonesha haina shida Hapo nadhani muda wa kumiliki Benz ulikuwa bado boss, endelea na carina mkuu hazilagi mafuta zile

Acha ushamba mkuu na wala usikariri. Hata uko wanakozitengeneza wanatengeneza zenye specifications tofauti kwa mahitaji tofauti. Hata TOYOTA kuna zenye engine kubwa na ndogo. Wakati nanunua nilipanga nahitaji kitu gani, kama haiko efficient kama ilivyokusudiwa lazima kujua tatizo.
Namiliki gari ambayo si Benz na inakula mafuta kuliko hii na sijawahi kulalamika kwa sababu naelewa. Point yako ingekuwa valid kama ningelalamikia maintenance costs zake ambazo nishafanya na sijacomplain.
 
Asante, nitajaribu hii, i will call the number.
 
Mi unanionea Bure tu kusema kweli, mi sio hata mshamba
 
Ulivyofanya diagnosis Fuel trims/Adjustments/Compesations ziko vipi?

Spark plug unazotumia ni recommended kwa hiyo engine?

Ukiwa unaendesha ubadilishaji wa gear upo kawaida?

Data za fuel pressure zipoje? Umewahi badili Fuel filter?

Kutosoma code siyo sababu ya kila kitu kuwa sawa.

Kwa ishu yako me naweza kukuassist na vitu viwili.

1. Smoke test, ili kujua kama kuna leak kwenye pipes za hewa.

2. Kuclean injectors kwa sonicator.

0621 221 606
Mkuu Subaru Forester Inawaka check engine na traction. Gari ukiwasha unapiga kama bomu "kaboom" msaada
 
Mkuu bana namna gani tena, unaendesha Benz unalalamika mafuta mkuu.

Diagnostic zote zinaonesha haina shida Hapo nadhani muda wa kumiliki Benz ulikuwa bado boss, endelea na carina mkuu hazilagi mafuta zile
Carina inatumia lita 1 kwa km 20?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom