KUBADILI ENGINE YA HARRIER 3.0 FOUR


Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,473
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,473 2,000
Mzeee 5S inashida gani bila mfumo wa VVTi, nielezee kidogo hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
VVTi ni valve janja, zinafanya kazi ya ziada km kuzuia mafuta yasiende wakati hayahitajiki katika kusukuma gari, uvutaji wa mvuke wa petrol na utoaji wa muunguzo unaotoka kwenye tundu la piston mwanzo zilikuwa valve 2 tu inlet na outlet sasa VVTi wanaweka mpaka 5
(VVTi Variebly Valve Timing intellgent)
1555170068706-png.1070660
1555170962032-png.1070688
Injini ya 5s
sasa tofauti ya injini ya 5s ni kuwa ukaaji wake na baadhi ya vitu vya zamani (hiyo injini ya 1MZ) ilikuwa na vifaa vingi itakugharimu rudishia tu injini nyingine kama ya awali zipo pale Ilala DSM
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,151
Points
2,000
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,151 2,000
Weka 2AZ FE, cc 2360 utasahau suala la fuel consumption mbaya....Tafuta used ya nje sio ya hapa bongo.
2AZ- FE pale Ilala ni bei gani?
Ila kiukweli ni bonge la Engine. 5S ni Engine mzuri,kubwa kidogo ya 3S ya RAV4 Old model,isipokua haina VVTi,hivyo power ya gari hutegemea zaidi unavyokanyaga mafuta mengi,hivyo kukosa urafiki wa ulaji wa mafuta,wakati VVTi kuna msaada wa mafuta na mifumo ya umeme(literally kwa mtaani tunasema hivyo,though ni mambo mchanganyiko kidogo)!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,151
Points
2,000
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,151 2,000
VVTi ni valve janja, zinafanya kazi ya ziada km kuzuia mafuta yasiende wakati hayahitajiki katika kusukuma gari, uvutaji wa mvuke wa petrol na utoaji wa muunguzo unaotoka kwenye tundu la piston mwanzo zilikuwa valve 2 tu inlet na outlet sasa VVTi wanaweka mpaka 5
(VVTi Variebly Valve Timing intellgent)
View attachment 1070660 View attachment 1070688 Injini ya 5s
sasa tofauti ya injini ya 5s ni kuwa ukaaji wake na baadhi ya vitu vya zamani (hiyo injini ya 1MZ) ilikuwa na vifaa vingi itakugharimu rudishia tu injini nyingine kama ya awali zipo pale Ilala DSM
Umemaliza kila kitu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A

alby_wgt

Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
11
Points
45
A

alby_wgt

Member
Joined Feb 11, 2019
11 45
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
we jamaa JF mmezidi uongo sasa khaah....et at least engine ya 6km/l iv uko serious wewe......kwa uzoefu wangu katika magari gari ya 6km/l inaohopeka sana coz fuel consumption inaonekana juu asa we umekosa vya kutudanganya ndo utuambie kuwa una 2.5km/l kadanganye watoto wa vidudu uko
 
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
1,147
Points
2,000
Age
49
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
1,147 2,000
Uza kisha nunua harrier ya 2.4
 

Forum statistics

Threads 1,285,928
Members 494,830
Posts 30,879,298
Top