Kubadili engine ya harrier 3.0 four

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,863
2,000
Inalalamikiwa kwa ubovu au ulaji wa mafuta. Maana hiyo imefungwa kwenye RAV4 Miss Tanzania,Harrier Old Model ya mwaka 2000,2001 na 2002 na Harrier New Model(kwa Kitanzania ni kuanzia mwaka 2003 a.k.a tako la Nyani), imefungwa kwenye Alphard nk. Je hizo gari wanasema zina shida gani?
Ulaji wa mafuta, 5s ni ndogo kwa 2AZ
 

Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,069
2,000
Ila mleta mada hajasema kwamba alivyoinunua hio gari alifanya service? Kama kuweka Engine Oil, Gearbox Oil, Air Cleaner, Fuel Filter mpya au kanunua na kulipeleka barabarani tuu,?
 

CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,404
2,000
Ulaji wa mafuta, 5s ni ndogo kwa 2AZ
Ok,ila 5S ina cc 2160(bila mfumo mahsusi wa Umeme-VVTi) ambapo inaelekea kufanana na RAV 4 Old Model(3S-cc 1998) ambayo kila mmoja anaijua kwa ulaji wa mafuta. Engine code 2AZ CC -2362 iko poa sana kwa ulaji wa mafuta(kama haijachoka)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom