Kubadili engine ya harrier 3.0 four

Malikauli

Senior Member
Mar 3, 2012
147
113
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
 
Kabla ya kufanya chochote kile nenda kwenye garage ukafanya diagnostic test ya engine ya gari lako.
 
Engine yako ni 1MZ?
Hiyo ni Engine kubwa ikiwa na cc2990(3000),lazima ikuchote mahela kwa mafuta. Anza kwanza kubadilisha plug,kanunue Original pale mlimani City. Moja huwa ni Tsh 30,000-40,000. Tatizo likizidi,kafanye diagnosis kwenye engine,ila anza na nozzle. Vikishindikana hivyo,kanunue engine ya 2AZ VVTi,ila bei nk Tsh angalau 2.5. Ila engine poa sana. Ila pia kuna 5S ambayo iko na cc ndogo ya 2az. Ubovu wake ni kuwa haina mifumo yaVVTi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Mtaalamu anaitwa lege,inaonyesha ameiva .mtafute private atakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante, namtafta fundi sahihi nicheck hili
Mkuu hiyo engine 1MZ ni sahihi kwa hiyo gari, sema ulaji wa mafuta ndio unaokuzingua
kawaida yake lita 1 kwa 6km hadi 11km nje ya Mji na hata km utaweka engine ya 5s matumizi yatagota bado kwa 6km/l hadi 11km/l
lkn 2.5km angalia labda tanki bovu inavuja
Hii mashine inaita iache tu ifanyie matengenezo ndio thamani ya kuitwa Harrier lkn ukiweka engine ni ingine tu haka ya Kirikuu itaingia lakini haitaitwa harrier
 
huo ni ulaji wa V12 mzee maana hata V8 inakula kwa 4 km
hio engine ni mbovu
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Angalia nozzle mzee itakuwa zimekufs

Umeuziwa gari bovu mzeee hata v8 haili hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzeee 5S inashida gani bila mfumo wa VVTi, nielezee kidogo hapo.
Engine yako ni 1MZ?
Hiyo ni Engine kubwa ikiwa na cc2990(3000),lazima ikuchote mahela kwa mafuta. Anza kwanza kubadilisha plug,kanunue Original pale mlimani City. Moja huwa ni Tsh 30,000-40,000. Tatizo likizidi,kafanye diagnosis kwenye engine,ila anza na nozzle. Vikishindikana hivyo,kanunue engine ya 2AZ VVTi,ila bei nk Tsh angalau 2.5. Ila engine poa sana. Ila pia kuna 5S ambayo iko na cc ndogo ya 2az. Ubovu wake ni kuwa haina mifumo yaVVTi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu!

Katika pita pita zangu za mtaani nilifanikiwa kununua Harrier 3.0 FOUR kwa rafiki, gari ni nzima kabisa ilikuwa ya kuwasha na kuondoka. Changamoto ni kwenye fuel consumption inakomoa (wastani wa 2.5Km per litre). Maamuzi binafsi niliyofikia ni kubadili engine hii na kuweka yenye consumption inayoendana na kipato (atlest 6km/litre). Nipo Dsm, natafta fundi/mtaalam mwenye uzoefu na hili zoezi kwa gari tajwa anishauri ni engine gani inafaa kufungwa na ikiwa ndani ya uwezo wake nimpe kazi ya kuibadili. Hata kama si fundi ila una ushauri wowote katika hili nitashukru.
Ina shida nyingine, huo sio ulaji wa hizo gari. Ungesema 5km to 7km kwa mjini ningeelewa. Bora urekebishe engine tu. Kubadilisha kutakufanya uwe mteja wa kudumu wa garage. Labda urudishie engine kama hiyo. Japo nayo upate mafundi wa ukweli. Sio wa ujanja ujanja wa kila gari kuita new model
 
Back
Top Bottom